Diamond awajibu Team Wema

Diamond awajibu Team Wema

Jokate hadi kuingia ubongo was fleva na degree yake ni kufulia my dear. Hata kumdate domo ni ucheap pia

jokate juzi alikua anatangaza bidhaa za dewji
yule mjanja huwezi linganisha na wema
yule antafta jina ili apge pesa ndo maana anajituma sana
huwezi mlinganisha "kate kate "na wema
 
Tukae chini na popcorn movie ndo kwanza inaanza, safari hii Wema akiachwa sijui atakuwa na hali gani

umeona eeeh!
aachwe mara ngapi?!!hayo maneno tayari talak tosha labda km mtu amehak account
shosti upooo?!!binamu namtamani hapa!!
 
Huyu Diamond baada tu kutoa nyimbo ya kindololo basi nikaelewa fika sasa hivi mziki wake ameulenga kwa waswahiswahili na nitashanga kwenye top 10 za uswazi kwa Zembwela kama haipo.

Uswahili wa Diamond ni huu kubishana na wauza K wa mjini anashindwa kujuwa alipata hata heshima ya kukaa meza moja na Rais na anatakiwa hizi team mavimavi hasijishughurishe nazo. Mswahili wa Tandale kubadilika ipo kazi.

We mswahili wa masaki hasijishughurishe ndio nini?
 
Jokate nilikuwa nampenda na kumheshimu sana. Ila tangu alipokuwa na jamaa nikachefuka. Kumbe nae cheap hivi tena kwa watu wasio wa maana.
 
Dah ni kweli na jojo shule inamsaidia sana hata kweny
kufanya mambo yake ila Wema nilikuwa nampenda ila sasa sifa zikamzidi na team yake eti ana nyota kali hataki kujishughulisha anasubiriwa kupewa abadilike wanaume wahongaji adimu lazima wakuchoke

Kwa exposure aliyonayo jokate jumlisha na elimu yake kuna mengi Sana ya kisomi angefanya kuliko kukata mauno pale jukwaani. I swear jokate alikuwa mtu wa kukutana na vichwa vikubwa flani duniani (world bank n.k) km kweli angetumia nafasi name elimu yake ya pale mlimani vizuri. Siwezi kuweka idea hapa as nitamfungua macho...Still namuona Kama aliyefulia tu
 
Hahaha tuzo ya Afrima kaitunza ndani mbona.

Bweg e tu huyo,yote hayajitambui, amshukuru davido,mama yake diamond mswahili,mama wema mswahili, matoto nayo midomo mikubwa, wema anabinua matko mbele ya uwanja wa mpira kwenye fiesta, you date her,kweli wa uswazi wa uswazi tu,ndio maana mzee sepetu alipiga chini
 
Na nyie mnakuwa vichwa maji hata kushtuka hamshtuki kwamba ndomo amefikia saturation point so anatumia hivi viskendo kujibust..!!!!!
 
umeona eeeh!
aachwe mara ngapi?!!hayo maneno tayari talak tosha labda km mtu amehak account
shosti upooo?!!binamu namtamani hapa!!

Nipo mpenzi, kuja huku kunabore sikuhizi binamu hayupo hakuna umbea kama zamani jukwaa limepwaya
 
Katika vitu ambavyo huwa nashindwa kuvielewa ni hili la Jokate kwenda kumpanulia Diamond, Sasa hivi nimedharau hata wanawake wengine maana maana naamini with Cash wamebaki wanawake wachache sana wenye msimamo wa kutompanulia mtu kwa ajili ya pesa au umaarufu wakati hana qualities unazozitaka.
Huyu pia ndio wale wale...kwa elimu aliyo mayo hakuwa was kukata mauno jukwaani name kugombea mbo..o name watu ambao hata vyeti hawana na kumkuwadia Rio Paul kwa mabwana mjini (alafu watu wanasema Ana akili?? Really? Degree inatumika kukuwadia name kukata mauno?
 
Mimi nadhani Jokate mumtambuwe tu kama muhitimu wa chuo kikuu tu na siyo msomi kabisa. tena hili la kwenda kukatishwa mauno nimelipata leo humu maana Fiesta mimi huwa sifuatilii hayo mambo.
 
Huyu Diamond baada tu kutoa nyimbo ya kindololo basi nikaelewa fika sasa hivi mziki wake ameulenga kwa waswahiswahili na nitashanga kwenye top 10 za uswazi kwa Zembwela kama haipo.

Uswahili wa Diamond ni huu kubishana na wauza K wa mjini anashindwa kujuwa alipata hata heshima ya kukaa meza moja na Rais na anatakiwa hizi team mavimavi hasijishughurishe nazo. Mswahili wa Tandale kubadilika ipo kazi.

HATA MI NASHANGAA,ANYWAY WEMA NI MTOTO WA MCHEPUKO WA mzee isack sepetu,MZEE AKAPIGA CHINI,MAMA DIAMOND HAJUI HATA MUMEWE ALIPO, NAMSHANGAA JK ANAVYOKUWA BIZE NA HIZI MBWEHA
 
diamond kawajibu vzur sana...team wema chaliiii,ila soon wataachana tena,wasipoachana nalala uchi kona baa tigo ikiwa juu..cku tatu..
wewe kweli mkono wa paka,wote diamond na wema wamelelewa chooni
 
Baada ya timu Wema kumzodoa Diamond kwa kumkatisha miuno kwenye tamasha la fiesta,Diamond kawajibu punde na kutoa msimamo wake!!!

Picha soon inakuja!!!

Ahahah ila huyu wema kazidi umalaya duhhh na diamond naye majanga
 
Katika vitu ambavyo huwa nashindwa kuvielewa ni hili la Jokate kwenda kumpanulia Diamond, Sasa hivi nimedharau hata wanawake wengine maana maana naamini with Cash wamebaki wanawake wachache sana wenye msimamo wa kutompanulia mtu kwa ajili ya pesa au umaarufu wakati hana qualities unazozitaka.

Wewe hebu tuambie hizo qualities unazozitamani kutoka kwa mwanaume tujue
 
Back
Top Bottom