Diamond awajibu Team Wema

Diamond awajibu Team Wema

JK naye awe anaangalia watu wa kufanya nao ushikaji. Ona sasa rafiki yake Diamond anachofanya hapa na vicheche wenzake. Ujinga mtupu.
Ova.
 
HATA MI NASHANGAA,ANYWAY WEMA NI MTOTO WA MCHEPUKO WA mzee isack sepetu,MZEE AKAPIGA CHINI,MAMA DIAMOND HAJUI HATA MUMEWE ALIPO, NAMSHANGAA JK ANAVYOKUWA BIZE NA HIZI MBWEHA
Stuka weweee!
Hujui kazi ya wema mikoani?
Hujui kazi ya Diamond nje ya nchi?
Hujui kazi ya Liz moko mashariki ya mbali!
Heem mi nilale nikuwe mrefu!
 
dahh nmeona hilo gazeti la domo IG sina hamu na domo karibu muvi ya jide na gadna tutaisahau. muvi mupya imeingia mujini wema na domo..
 
Mwana ya Ali Kiba ishawatia wazimu, sasa anaanza kutafuta kiki ili aandikwe.
Ova.
 
Mimi nadhani Jokate mumtambuwe tu kama muhitimu wa chuo kikuu tu na siyo msomi kabisa. tena hili la kwenda kukatishwa mauno nimelipata leo humu maana Fiesta mimi huwa sifuatilii hayo mambo.
Yule ni mhitimu
 
jokate juzi alikua anatangaza bidhaa za dewji
yule mjanja huwezi linganisha na wema
yule antafta jina ili apge pesa ndo maana anajituma sana
huwezi mlinganisha "kate kate "na wema

Sijawalinganisha ila I see no success in her
 
Kwa mtu mwenye akili hayo siyo majibu sahihi ni kumdhalilisha ingekuwa mkuu kaniandika hivyo kwenye uma yaani Leo ningeomba talaka najua kanichoka kwanini asingenyamaza akamuweka chini na kumshauri du pyuu
 
Ni kumtenga na familia tu hakuna namna aendelee na ushetani wake. Na walahi kama Diamond ni mfiraji basi takko la dezo ndio hilo mtoto hawezi kumnyima tigo domo akiitaka kwa style hii ninayoiona.

Hii hatari sana
 
kuhakikisha amekula....amevaaa na kula vizuri haitoshi kwa mpenzi wako unayempenda.....lazima kuhakikisha yupo njia sahihi kila kona.......hao wanatuonyesha mapenzi ya kisanii tu.....(kuigiza)....na huo nahic ndio mwisho wa part 2
 
Kwa exposure aliyonayo jokate jumlisha na elimu yake kuna mengi Sana ya kisomi angefanya kuliko kukata mauno pale jukwaani. I swear jokate alikuwa mtu wa kukutana na vichwa vikubwa flani duniani (world bank n.k) km kweli angetumia nafasi name elimu yake ya pale mlimani vizuri. Siwezi kuweka idea hapa as nitamfungua macho...Still namuona Kama aliyefulia tu

Yani na jojo mulemule tu kwakweli angetumia fursa angekua mbali zaidi ya hapo na fiesta naye alikuwa anaimba ina maana naye sijui ni mwanamziki vichwa vingine ni shiida
 
Bila skendo daimond hauzi.......

Yaani kila baada ya muda lazima waachie ushuzi ili watu wawajadili



Na nyie mnakuwa vichwa maji hata kushtuka hamshtuki kwamba ndomo amefikia saturation point so anatumia hivi viskendo kujibust..!!!!!
 
Jokate hadi kuingia ubongo was fleva na degree yake ni kufulia my dear. Hata kumdate domo ni ucheap pia

kweli kabisaa,,,jojo tangu adate na domo kashuka sana umaarufu na heshima..sa hz kabaki insta kuaplod picha za robo tatu uchi tu,,...mfyuuuu:angry::angry:
 
Back
Top Bottom