Diamond awajibu Team Wema

Diamond awajibu Team Wema

Leo usiku nilikuwa naangalia kipindi cha boys boys Tv1 anachohost Mwisho Mwampamba mgeni alikuwa Mtanzania Nando aliyeshiriki BBA mwaka 2013.

Basi Mwisho akamuuliza kushiriki BBA umeeaidika na nini? labda connection fulani au milango fulani ilikuwa imefungwa sasa inafunguka?

U cant beleive the guy alichojibu sasa hivi akienda Club halipi kiingilio ila yeye ndio huwa sometime analipwa, Pili hata akipita airport Bongo sasa anajulhkana na anapewa care fulani hivi.

kwakweli sikuamini kama huyu Mtanzania amekaa muda Marekani kama yuko shallow namna ile, Hivi ameshndwa hata kujuwa Mwisho Mwampamba yupo Tv1 lakini connection ile source yake ni big brother?

Usimshangae sana Jokate hata archivement ndogo anazofanya itakuwa na kutoa papa lake kunahusika hana akili kichwani.

aiseeeh!
kuingia club bure ndo faida?!!!
hana akili
 
Diamond kawajibu vzur sana...team wema chaliiii,ila soon wataachana tena,wasipoachana nalala uchi kona baa tigo ikiwa juu..cku tatu..

Sema tu umekamis kamchezo kako ka long tym wataka karudia kwa mtindo wa bettn, hahahahah huku kweli kwa maGT

Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨uuuu
 
nyie mnaomsema Jokate mbona sijaona cha ajabu pale...... hata alivyokua anacheza ni classic ofauti na Mama wa vigodoro na kitorondo.

kina Niki wa pili si hao wana masters na wanapanda jukwaani....

umeonaa
bora umenisaidia jokate anakaba
wapo wengi wasomi na wanaimba
unaweza kumuita kiraka
mi sishangai ye kuimba s anatafuta kwa riziki yake
 
Huyu Diamond baada tu kutoa nyimbo ya kindololo basi nikaelewa fika sasa hivi mziki wake ameulenga kwa waswahiswahili na nitashanga kwenye top 10 za uswazi kwa Zembwela kama haipo.

Uswahili wa Diamond ni huu kubishana na wauza K wa mjini anashindwa kujuwa alipata hata heshima ya kukaa meza moja na Rais na anatakiwa hizi team mavimavi hasijishughurishe nazo. Mswahili wa Tandale kubadilika ipo kazi.

Huyo uliyemtaja kuwa alikaa naye meza moja sii ni mswahili tuu naye! Usije kuta jioni anacheza kindololo pale jumba kuu.

Sent from my iPad using JamiiForums
 
Huyu Diamond baada tu kutoa nyimbo ya kindololo basi nikaelewa fika sasa hivi mziki wake ameulenga kwa waswahiswahili na nitashanga kwenye top 10 za uswazi kwa Zembwela kama haipo.

Uswahili wa Diamond ni huu kubishana na wauza K wa mjini anashindwa kujuwa alipata hata heshima ya kukaa meza moja na Rais na anatakiwa hizi team mavimavi hasijishughurishe nazo. Mswahili wa Tandale kubadilika ipo kazi.

Duh Matola we jembe
 
Last edited by a moderator:
Wema atafikisha rekodi ya kuwa mwanamke aliyechunguliwa uchi na wanaume wengi na rekodi hiyo itakuwa hivi kwenye kila mkao wa mapedeshee kumi saba wamemchungulia uchi.Diamond piga chini huyo .
 
the girl yuko next level..... huwezi mlinganisha na wema hata kidogo kwahiyo ana utilize every opportunity she gets.

kwahiyo ukiwa na degree usipande jukwaani kuimba....
Mwanamke yeyote anayepanuwapanuwa mpapa lake na kuporana mabwana huwezi kuniconverce yupo next level. Jokate ni muhitimu tu wa chuo kikuu lakini upstairs kuna walakini.
 
Habari ndio hiyo hao walutaka Diamond amfunge kama wema ama?

Mwanaume anaekupenda lazima akushauri vizuri pia akusukume upate mafanikio yaan kwa aliyoongea domo yaan yupo na wema tu basiii yaan wema kwa domo kalishwa limbwata la kufa mtu
 
Naona alichojibu kiko directed zaidi kwa Wema na sio hizo team.Ameonyesha mambo matatu.1-kuwa wema anamarafiki wabaya.2-anapenda starehe au unywaji wa pombe.3-hapendi kufanya kazi.Ninauhakika ile message hata wema haijamfurahisha.Kamwita huyo msanii wenu...inamaana hajui jina lake?...ukisoma kwa makini ile message utaelewa naongelea nini.Wema needs to strike while the iron is still hot!!!!!!:flame:

Kweli kabisa
 
Jamani tupeni habari ya dangote na Menina
Wema unajilazimisha mapenzi na dangote utashaaaaaa hana habari na wewe utamkumbuka clement mpaka ufeeee na hiv domo anamsikiliza mama yake we ndio kwanza mama humsikiliziiii dangote komesha hilo wemalaya mpaka lizeeke halina kitu
 
Ila kiukweli wema inabidi abadilike.....
zaidi ya kujaza kabati manguo,mawigi,viatu sidhani kama kuna jingine la kufanya zaidi ya kutujazia mipicha mitandaon...hiyo endless imekwisha habari nahisi imejaa buibui tu sahizi...
angekuwa mtu mwenye akili hivi sahiz angezidi kuchanganya akili za maisha kufanya vitu vya maana...lkn anaishia kunengua tu..
hili toto halina akili kabisa
 
kweli kabisa...hivi yale ma weaving yake amesitisha kuyauza?..kandambili je?..ila anajua ku hustle..sema hatulii
Kwa exposure aliyonayo jokate jumlisha na elimu yake kuna mengi Sana ya kisomi angefanya kuliko kukata mauno pale jukwaani. I swear jokate alikuwa mtu wa kukutana na vichwa vikubwa flani duniani (world bank n.k) km kweli angetumia nafasi name elimu yake ya pale mlimani vizuri. Siwezi kuweka idea hapa as nitamfungua macho...Still namuona Kama aliyefulia tu
 
Kuna wanawake wana uzuri tu kichwani hamna kitu lakini wanajua kuutumia uzuri wao na level walizo nazo hakuna mwanaume na akili zake anaweza fika. Huyu angechanganya uzuri wake na akili zake maana sio mweupe kihivyo angekuwa icon wa hataree! Demu mkali na smart kidogo kichwani akiamua kuipursue opportunity ni mara chache sana anaikosa (this is unwritten law).
 
ahahahahhhhh, duh, nimecheka mimi asbh asbh lol!

Hapo kona bar utalala ndani au nje ya bar?

Diamond kawajibu vzur sana...team wema chaliiii,ila soon wataachana tena,wasipoachana nalala uchi kona baa tigo ikiwa juu..cku tatu..
 
Back
Top Bottom