Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Warumi kapewa ban
Ulidhani na wewe utaachwa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Warumi kapewa ban
ila we ndo shetani wa mguu mmoja uso na haya
maana we ndo ulianza kumchokonoa chokonoa
umefurahiiii eeh..?!!$
warumi kupewa ban..?!!
Tayari nae kapewa haki yake.
Ina maana heaven on desert habari za tunzo mbili alizipata wapi? au alikosea kuangalia.tuzo ni moja Rutta... sio mbili wala nini
Tayari nae kapewa haki yake.
Ina maana heaven on desert habari za tunzo mbili alizipata wapi? au alikosea kuangalia.
Ulidhani na wewe utaachwa?
Ina maana heaven on desert habari za tunzo mbili alizipata wapi? au alikosea kuangalia.
haa desert mbwembwee nyingi ngoja aje uone.. na si alianzisha thread kabisaa kusema walikosea kuandika
hahahahakwani nani na nani? wamepgwa ban.
afu hat nyuzi yenyewe hatjui imepotelea wapi...!!kaka muongo yule jamani