Diamond awapa onyo KQ kupitia kwa manzi wake, vigogo wa KQ matumbo joto huko Nairobi

Diamond awapa onyo KQ kupitia kwa manzi wake, vigogo wa KQ matumbo joto huko Nairobi

Alizama? N'gambo? Akaibukia wapi?
Soma tena comment uielewa,hakuna sehemu iliyosema "Alizama" bali imesema "Alikua na mawazo ya kuzamia ng'ambo"

"Alikua na mawazo ya kuzamia ng'ambo" ina maana kitendo cha kuzamia kilikua bado hakijafanyika bali kilikua kwenye mawazo tu,

Ongeza umakini mkuu katika kuchambua mambo na uelewa wa sentensi.
 
Umaarufu wa Diamond Platnumz kwa kupost maneno mazuri dhidi ya Air Tanzania ni millage ya kutosha tu kawa shirika la ATCL. Wachana na ishu ya jana, ile kimantiki imeshapitwa na wakati. Kila mtu atakuwa amejifunza kutokana na kilichotokea, hakuna haja ya kuendelea kulishikia bango. LIFE GOES ON. . . .FORWARD DIRECTION
 
Uzalendo wa kweli.. Ni vingumu sana kuona msanii wa kenya aki shabikia KQ bila malipo..
hongera Diamod hongera atcl hongera wasafi records. Lakini diamond upuguze filamu zinazo potosha watoto wa tanzania
 
Back
Top Bottom