Diamond awapa tuzo Wizkid na Tiwa Savage

Hziyech22

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2019
Posts
15,351
Reaction score
21,362
Leo wakati diamond na crew nzima ya wasafi pamoja na baadhi ya wasanii wakifanya press conference ya kutoa shukrani zao kwa mashabiki kwa kuudhuria kwa wingi Sana pamoja na wadhamini waliosponsor tamasha la wasafi.

Diamond ametumia fursa hiyo Kama suprise kwa kuwakabidhi tuzo za heshima Wizkid na Tiwa Savage bila wao kutarajia kwa kutambua mchango wao wa kuitangaza Africa duniani na iwe Kama sehemu ya kuikumbuka Tanzania.

Pia Wizkid na Tiwa Savage walipata wasaa wakuzungumza na watanzania kwenye press conference hiyo na kutoa shukrani kwa watanzania kwa kuwapokea vizuri pamoja na heshima aliyowapa diamond platnumz za award.
 
Bila picha ni uzushi tu huu
Mbona kiba kampatia Tuzo Mdogo wake abdu kwa kuupeleka muziki kimataifa na hajatangaza[emoji4][emoji4][emoji4]
We Kila kitu unataka picha tu kwani ufuatiliaji mambo kwenye social network inamaana wewe chanzo chako Cha habari ni jamiiforum tu?
 
King Kiba is a lion 🦁🦁 of toilet paper
 
Bila picha ni uzushi tu huu
Mbona kiba kampatia Tuzo Mdogo wake abdu kwa kuupeleka muziki kimataifa na hajatangaza[emoji4][emoji4][emoji4]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…