Diamond awapa tuzo Wizkid na Tiwa Savage

Diamond awapa tuzo Wizkid na Tiwa Savage

Leo wakati diamond na crew nzima ya wasafi pamoja na baadhi ya wasanii wakifanya press conference ya kutoa shukrani zao kwa mashabiki kwa kuudhuria kwa wingi Sana pamoja na wadhamini waliosponsor tamasha la wasafi.

Diamond ametumia fursa hiyo Kama suprise kwa kuwakabidhi tuzo za heshima Wizkid na Tiwa Savage bila wao kutarajia kwa kutambua mchango wao wa kuitangaza Africa duniani na iwe Kama sehemu ya kuikumbuka Tanzania.

Pia Wizkid na Tiwa Savage walipata wasaa wakuzungumza na watanzania kwenye press conference hiyo na kutoa shukrani kwa watanzania kwa kuwapokea vizuri pamoja na heshima aliyowapa diamond platnumz za award.
 
Back
Top Bottom