Dai ndo mana huwakimbia na pesa wapewazo ni almost sawa uwe dai au cjui nani, ndo mana dai hula corner, ndo mana wasanii huishia kuchizika huku wakitajirisha wengineSimba hapindui kwa clouds ng'odo!!
Wakimtaka wanampata anytime!
Ya mwanza alikuwepo, hiyi adi kiba aliendaHuoni alivyo mjanja fiesta imeanza kaenda rekodi na neyo!!
Karudi juzo tu hapa!
Unajua dau la dai kwa sasa?muda wa kuwatumikia hao mashoga zako umekwisha,waulize walivyomtaka aende arusha aliwajibu niniYa mwanza alikuwepo, hiyi adi kiba alienda
Nadhani domo hakuwepo takriban wiki mbili tu za fiesta.
Na wo wanajua hazitaki hizo na hakuna la kufanya hapo
0-0
Aliwajibu nini?Unajua dau la dai kwa sasa?muda wa kuwatumikia hao mashoga zako umekwisha,waulize walivyomtaka aende arusha aliwajibu nini
anawakimbia maana hana uwezo wa kukataa!Ya mwanza alikuwepo, hiyi adi kiba alienda
Nadhani domo hakuwepo takriban wiki mbili tu za fiesta.
Na wo wanajua hazitaki hizo na hakuna la kufanya hapo
0-0
Ruge ndo channel zake ni CCM B wala hazitofanya kazi!Mimi naona sheria iwekwe ili ruge na wenye tabia kama ya ruge... wabanwe na sheria ili wasanii wafaidi matuda ya kazi zao sio kulaliwa kimasilahi...
natega[emoji101] [emoji101]Aliwajibu nini?
Mi nashangaa watu wanamlinganisha domo na hao wanyonge wa THTUnajua dau la dai kwa sasa?muda wa kuwatumikia hao mashoga zako umekwisha,waulize walivyomtaka aende arusha aliwajibu nini
[emoji101] [emoji101] tujibiwe hicho alichosema mondinatega[emoji101] [emoji101]
Mkuu mi Ruge nikimsikiaga tuu yaan ina nitia uchunguMimi naona sheria iwekwe ili ruge na wenye tabia kama ya ruge... wabanwe na sheria ili wasanii wafaidi matuda ya kazi zao sio kulaliwa kimasilahi...
Wee jamaa ni muogo kiwango cha reli standard gauge! Uliowataja hapo mwanzo niwashika pembe kama siyo diamond wangekufa njaa! Huwezi kutaja waliomsupport diamond ukamwacha JKMliokuja Dar kwa Treni na Magari ya Mizigo mna taabu sana na mkishafika mjini mnajifanya nyie sasa ndiyo mnayajua mambo. Kwa wanaojua nani yupo nyuma ya Diamond 100% wakiona huo ' upuuzi ' wako uliouandika hapo wanabaki tu kucheka kwa ' dharaaaaaaaaauuuuuuuuuu '.
Kama wasanii wataweza wampige chini tu..wakomae kivyao waone kama haiwezekaniRuge ndo channel zake ni CCM B wala hazitofanya kazi!
Kwani mmeskia Clouds Media ni Asasi ya Kiraia ya kuwasaidia watu bure? Kwani hamna station nyingine za radio hadi iwe clouds tu? Kuna Kiss fm, Ea radio, Radio One, Times fm mbona hamwatupii lawamaMkuu mi Ruge nikimsikiaga tuu yaan ina nitia uchungu
Kuna sku tulikuwa Rufiji huko tuka kuta dogo anajua kuimba ile mbaya, tuka mwambia dogo vipi mbona huendi kurekod akasema hana hela ya kuipelekea cloudz nyimbo yake
[emoji1] [emoji87] yaan niliishia kucheka kwa masikitiko tuu.
hawawezi kwa sasa!tatizo media nyngine bongo miyeyushoo!!Kama wasanii wataweza wampige chini tu..wakomae kivyao waone kama haiwezekani
Bas ukukutana na hao wa THT waambie "hakuna utumwa mbaya kama wakujiona uko free"
Namuona Ruby ana jielewa kuliko wasanii wengi sana hapa bongo
Hivi nyie wabongo mbona mnakuwa na vichwa vya ajabu hivyo!Mimi naona sheria iwekwe ili ruge na wenye tabia kama ya ruge... wabanwe na sheria ili wasanii wafaidi matuda ya kazi zao sio kulaliwa kimasilahi...
Ngoma cye tunaisikia ma times fm huko,East ,Efm nk ww tuu unayesikia redio moja ndiyo huisikii au unaona haikikikwakweli ila hakuna wa kubisha ukikosa airtime clouds kama ni msanii unaye chipukia utapata tabu sana nyimbo mpya ya rubi haina kik kwann..? je angekuwepo clouds ingekosa kik..? clouds media sio watu wa mchezo mchezo
You don't fight the capitalistic system...Ukitaka kula kubali uliwe.Utumwa ni mabaya sana ...' Time ya mondi kuwakomboa wenzake chini ya unyonyaji huu... 'Hakuna utumwa mbaya kama wa kutokujitambua huko utumwani....' Wachane broo