Diamond awapiga Clouds kijembe cha kiutu uzima

Diamond awapiga Clouds kijembe cha kiutu uzima

Simba hapindui kwa clouds ng'odo!!

Wakimtaka wanampata anytime!
Dai ndo mana huwakimbia na pesa wapewazo ni almost sawa uwe dai au cjui nani, ndo mana dai hula corner, ndo mana wasanii huishia kuchizika huku wakitajirisha wengine
 
Mimi naona sheria iwekwe ili ruge na wenye tabia kama ya ruge... wabanwe na sheria ili wasanii wafaidi matuda ya kazi zao sio kulaliwa kimasilahi...
 
Ya mwanza alikuwepo, hiyi adi kiba alienda
Nadhani domo hakuwepo takriban wiki mbili tu za fiesta.
Na wo wanajua hazitaki hizo na hakuna la kufanya hapo
0-0
Unajua dau la dai kwa sasa?muda wa kuwatumikia hao mashoga zako umekwisha,waulize walivyomtaka aende arusha aliwajibu nini
 
Mimi naona sheria iwekwe ili ruge na wenye tabia kama ya ruge... wabanwe na sheria ili wasanii wafaidi matuda ya kazi zao sio kulaliwa kimasilahi...
Ruge ndo channel zake ni CCM B wala hazitofanya kazi!
 
Unajua dau la dai kwa sasa?muda wa kuwatumikia hao mashoga zako umekwisha,waulize walivyomtaka aende arusha aliwajibu nini
Mi nashangaa watu wanamlinganisha domo na hao wanyonge wa THT
Domo ashakuwa brand kubwa bow yeye na cloudz wana tegemeana katika mazingira, hawa nyanyasi hawamnyanyasi .

Eb tupe ya Arusha
 
Mimi naona sheria iwekwe ili ruge na wenye tabia kama ya ruge... wabanwe na sheria ili wasanii wafaidi matuda ya kazi zao sio kulaliwa kimasilahi...
Mkuu mi Ruge nikimsikiaga tuu yaan ina nitia uchungu
Kuna sku tulikuwa Rufiji huko tuka kuta dogo anajua kuimba ile mbaya, tuka mwambia dogo vipi mbona huendi kurekod akasema hana hela ya kuipelekea cloudz nyimbo yake
[emoji1] [emoji87] yaan niliishia kucheka kwa masikitiko tuu.
 
Mliokuja Dar kwa Treni na Magari ya Mizigo mna taabu sana na mkishafika mjini mnajifanya nyie sasa ndiyo mnayajua mambo. Kwa wanaojua nani yupo nyuma ya Diamond 100% wakiona huo ' upuuzi ' wako uliouandika hapo wanabaki tu kucheka kwa ' dharaaaaaaaaauuuuuuuuuu '.
Wee jamaa ni muogo kiwango cha reli standard gauge! Uliowataja hapo mwanzo niwashika pembe kama siyo diamond wangekufa njaa! Huwezi kutaja waliomsupport diamond ukamwacha JK
 
Mkuu mi Ruge nikimsikiaga tuu yaan ina nitia uchungu
Kuna sku tulikuwa Rufiji huko tuka kuta dogo anajua kuimba ile mbaya, tuka mwambia dogo vipi mbona huendi kurekod akasema hana hela ya kuipelekea cloudz nyimbo yake
[emoji1] [emoji87] yaan niliishia kucheka kwa masikitiko tuu.
Kwani mmeskia Clouds Media ni Asasi ya Kiraia ya kuwasaidia watu bure? Kwani hamna station nyingine za radio hadi iwe clouds tu? Kuna Kiss fm, Ea radio, Radio One, Times fm mbona hamwatupii lawama

Ruge ni busnesman ukimchukia Ruge utakuwa na chuki zako binafsi!
 
Mimi naona sheria iwekwe ili ruge na wenye tabia kama ya ruge... wabanwe na sheria ili wasanii wafaidi matuda ya kazi zao sio kulaliwa kimasilahi...
Hivi nyie wabongo mbona mnakuwa na vichwa vya ajabu hivyo!

Unaposema itungwe sheria ya kumbana Ruge kwani Ruge ndiyo kawalazimisha wasanii waende fiesta? si kuna mikataba walio saini kati ya msanii na clouds media? Hiyo mikataba unajua wanalipwa sh ngapi? Hamna msanii alielazimishwa mbona rubby alijitoa?

Ruge kweli nimeamini ana nguvu kama familia ya Rockerfella!
 
kwakweli ila hakuna wa kubisha ukikosa airtime clouds kama ni msanii unaye chipukia utapata tabu sana nyimbo mpya ya rubi haina kik kwann..? je angekuwepo clouds ingekosa kik..? clouds media sio watu wa mchezo mchezo
Ngoma cye tunaisikia ma times fm huko,East ,Efm nk ww tuu unayesikia redio moja ndiyo huisikii au unaona haikiki
 
Utumwa ni mabaya sana ...' Time ya mondi kuwakomboa wenzake chini ya unyonyaji huu... 'Hakuna utumwa mbaya kama wa kutokujitambua huko utumwani....' Wachane broo
You don't fight the capitalistic system...Ukitaka kula kubali uliwe.
 
Back
Top Bottom