Diamond awapiku P-Square on Youtube

mkuu tusubiri baada ya miezi 3 tuone nani atakuwa juu kwa views za mda wote,believe me P Square watafika 5 mil,diamond akiwa kwenye 1m,kutangulia si kufika
 
mkuu tusubiri baada ya miezi 3 tuone nani atakuwa juu kwa views za mda wote,believe me P Square watafika 5 mil,diamond akiwa kwenye 1m,kutangulia si kufika
P Square wana kila sababu za kuwa na views nyingi kuliko Diamond kv, pamoja na mambo mengine, population ya Nigeria ni karibu mara sita ya population ya Tanzania... jambo la msingi ni kwamba, as of now, Chibu yupo juu coz' hata chati za Billboard, huwezi kusema kwavile Nick Minaj yupo top of the chat as of now, basi tusubiri miezi mitatu tuone kama ataendelea kuwa hapo!
 

ukitaka kuwa maarufu usiangalie population ya nchi gani,hata utokee shimoni ukifanya la maana utakubalika,PSV ganganam style ndo mwamziki mwenye views wengi,katokea nchi gani,na kafunika wengine dunia nzima
 
ukitaka kuwa maarufu usiangalie population ya nchi gani,hata utokee shimoni ukifanya la maana utakubalika,PSV ganganam style ndo mwamziki mwenye views wengi,katokea nchi gani,na kafunika wengine dunia nzima
Na ndio maana post yangu nimetanguliza neno "pamoja na mambo mengine...!" Mathalani, chukulia mtu kama Diamond... huyu bado anakubalika sana nyumbani na East Africa lakini hajavuka mipaka ya EA kivile. Sasa basi, kwa jinsi alivyo na mashabiki wengi Tanzania, na endapo population ya Tanzania na majirani ingekuwa ni kubwa zaidi, basi moja kwa moja ingekuwa na impact kwenye kazi zake... ni sawa sawa na ule ukweli kwamba lugha inayoongewa na watu wengi zaidi duniani ni Kichina lakini si kwamba Kichina kimesambaa zaidi duniani bali ni kwavile population ya China, ambayo ndio waongeaji wa Kichina chenyewe ni kubwa!! Msanii anayetamba ndani ya mipaka ya NIgeria peke yake anaweza kuwa na views nyingi zaidi kuliko msanii anayetamba ndani ya mipaka ya East AFrica peke yake!

Na tukirudi kwa PSV ganganam style, sijui unamzungumzia PSV yupi lakini kama unamzungumzia yule wa Korea, ndo yale yale niliyosema kabla... Diamond na East Africa wakati PSV na Far East! Ukibamba sehemu kama Korea, basi hakuna shaka utakuwa na mashabiki kuanzia China hadi Japan... sina haja ya kukumbusha population za huko! Na ndio maana hata Hollywood hivi sasa utengenezaji wao wa filamu wanaangalia sana ukanda huo na kuna fiamu kibao ambazo wanatengenezea huko... WHY? big Population anticipating big market!
 
pwa pwa pwi pwa Watoto
pwa pwa pwi pwaa Taifa
pwa pwa mpwi pwaa Lakeshoooo!

hongera dangote
 
Hivi huyu diamond amewafanyia kitu kibaya kiasi gani yani watu mnamchukia tafikiri nini sijui kijana wa wati? kama amepata views nyingi huko youtube wapambe wake wasiseme? yani kwa kifupi huyu jamaa huu ni wakati wake ataongelewa sana yani...daaahhh
 
Views 400,000 ndani ya siku nne kwa msanii wa Africa ni nyingi sana, ni wasanii wachache wanaweza kufikia hii. BIG UP Kwake.....!

Anyway its unfair kumkompea na P2 kwa sasa coz it seems nowdays P2 hawako hot kivile sijui watu wamewachoka, hata kwny nominations za tuzo hawatokei sana. Itakuwa fair ukimcompea na Davido pindi akirelease new song maana ndo yuko kwny peak
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…