Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
P Square wana kila sababu za kuwa na views nyingi kuliko Diamond kv, pamoja na mambo mengine, population ya Nigeria ni karibu mara sita ya population ya Tanzania... jambo la msingi ni kwamba, as of now, Chibu yupo juu coz' hata chati za Billboard, huwezi kusema kwavile Nick Minaj yupo top of the chat as of now, basi tusubiri miezi mitatu tuone kama ataendelea kuwa hapo!mkuu tusubiri baada ya miezi 3 tuone nani atakuwa juu kwa views za mda wote,believe me P Square watafika 5 mil,diamond akiwa kwenye 1m,kutangulia si kufika
P Square wana kila sababu za kuwa na views nyingi kuliko Diamond kv, pamoja na mambo mengine, population ya Nigeria ni karibu mara sita ya population ya Tanzania... jambo la msingi ni kwamba, as of now, Chibu yupo juu coz' hata chati za Billboard, huwezi kusema kwavile Nick Minaj yupo top of the chat as of now, basi tusubiri miezi mitatu tuone kama ataendelea kuwa hapo!
Na ndio maana post yangu nimetanguliza neno "pamoja na mambo mengine...!" Mathalani, chukulia mtu kama Diamond... huyu bado anakubalika sana nyumbani na East Africa lakini hajavuka mipaka ya EA kivile. Sasa basi, kwa jinsi alivyo na mashabiki wengi Tanzania, na endapo population ya Tanzania na majirani ingekuwa ni kubwa zaidi, basi moja kwa moja ingekuwa na impact kwenye kazi zake... ni sawa sawa na ule ukweli kwamba lugha inayoongewa na watu wengi zaidi duniani ni Kichina lakini si kwamba Kichina kimesambaa zaidi duniani bali ni kwavile population ya China, ambayo ndio waongeaji wa Kichina chenyewe ni kubwa!! Msanii anayetamba ndani ya mipaka ya NIgeria peke yake anaweza kuwa na views nyingi zaidi kuliko msanii anayetamba ndani ya mipaka ya East AFrica peke yake!ukitaka kuwa maarufu usiangalie population ya nchi gani,hata utokee shimoni ukifanya la maana utakubalika,PSV ganganam style ndo mwamziki mwenye views wengi,katokea nchi gani,na kafunika wengine dunia nzima