jonas amos
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 3,645
- 4,438
wewe ni mmoja kati ya vichupi kunuka pambana na mahusiano yako mkuuVichupi kunuka? Hao si ndo fans wake kutwa kununua Karanga, pafyumu, na show zake?
Lijamaa limelewa sifa asee!
Hebu fans wake mgomeeni Kazi zake huyu boya arudi tandale akauze mitumba na mama ake...mxiuuuu
Sent using Jamii Forums mobile app
ni wale fans zake wanafki na wanaopenda kushabikia mambo yasiyowahusu,hata kama fans wake sio kumuingilia mambo yake ya ndanii, na ana haki hata ya kuwasemea ovyo, .Vichupi kunuka? Hao si ndo fans wake kutwa kununua Karanga, pafyumu, na show zake?
Lijamaa limelewa sifa asee!
Hebu fans wake mgomeeni Kazi zake huyu boya arudi tandale akauze mitumba na mama ake...mxiuuuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mambo yake ya ndani sasa sisi ya nn na anatuonyesha ili iweje na anatuonyesha anategemea comment gani kutoka kwetu .ifike stage akue na aache ulimbukeni dunia nzima inajua yy ndo anayemgonga zari ya nn tena kutuonesha ssni wale fans zake wanafki na wanaopenda kushabikia mambo yasiyowahusu,hata kama fans wake sio kumuingilia mambo yake ya ndanii, na ana haki hata ya kuwasemea ovyo, .
Si chupi kunuka kama wewe tangu lini akatutukana fans wake wewe utakuwa umetokea kule mlengo wa kushoto unataka kumgombanisha na shabki zakee, nyie kila analofanya si ndio mnajadiligiVichupi kunuka? Hao si ndo fans wake kutwa kununua Karanga, pafyumu, na show zake?
Lijamaa limelewa sifa asee!
Hebu fans wake mgomeeni Kazi zake huyu boya arudi tandale akauze mitumba na mama ake...mxiuuuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwan hujui jasiri haachi asili Made in Tandale kwa TumboIla hili jianaume lina mdomo mchafu! Ni kweli raia wanamfuatilia mno ila amekosa lugha ya staha?
Na hao mafans wake manyumbu tu yanatukanwa bado yanaendelea kumpraise...Ujinga mtupu
Tangu lini washabiki wa kiba mkafurahia matendo ya diamond ukiamua kufanya kazi ya shetani mshike hasaaaaa kiba mnafiki tu anajitia mtu wa Mungu kutwa kukata viuno kwenye stage yeye na mond wametofautiana nn wote wanamtumikia shetani .Sijafurahi kitendo alicho Fanya ,its OK kuishi kistar lakin hapana mbona mastar kibao duniani wakumzidi lakin hawafanyi ya hovyo kama huyu shetani.mfano.mzuri alikiba safi kabisa kaka wa watu masikini hanaga ujinga ujinga na hatakama anafanya inakua ni siri yake bora tu na nasema kuanzia Leo natamka rasmi sio fan wa diamond na hamia kwa alikiba officially sio kwa kwa usenge aliouandika .yani nahisi kutapika ngoja ni hishie hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha umenichekesha sana boss..huyo anayewapiga picha anakazi.. wenzake wanagegedana yeye anazunguka zunguka kuwafotoa.
Kifesi huyohuyo anayewapiga picha anakazi.. wenzake wanagegedana yeye anazunguka zunguka kuwafotoa.