Diamond awatolea mapovu wanaomsakama Zari

Diamond awatolea mapovu wanaomsakama Zari

Vichupi kunuka? Hao si ndo fans wake kutwa kununua Karanga, pafyumu, na show zake?

Lijamaa limelewa sifa asee!
Hebu fans wake mgomeeni Kazi zake huyu boya arudi tandale akauze mitumba na mama ake...mxiuuuu

Sent using Jamii Forums mobile app
wewe ni mmoja kati ya vichupi kunuka pambana na mahusiano yako mkuu
 
Sijafurahi kitendo alicho Fanya ,its OK kuishi kistar lakin hapana mbona mastar kibao duniani wakumzidi lakin hawafanyi ya hovyo kama huyu

mfano.mzuri alikiba safi kabisa kaka wa watu masikini hanaga ujinga ujinga na hata kama anafanya inakua ni siri yake bora tu na nasema kuanzia Leo natamka rasmi sio fan wa diamond na hamia kwa alikiba officially

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vichupi kunuka? Hao si ndo fans wake kutwa kununua Karanga, pafyumu, na show zake?

Lijamaa limelewa sifa asee!
Hebu fans wake mgomeeni Kazi zake huyu boya arudi tandale akauze mitumba na mama ake...mxiuuuu

Sent using Jamii Forums mobile app
ni wale fans zake wanafki na wanaopenda kushabikia mambo yasiyowahusu,hata kama fans wake sio kumuingilia mambo yake ya ndanii, na ana haki hata ya kuwasemea ovyo, .
 
ni wale fans zake wanafki na wanaopenda kushabikia mambo yasiyowahusu,hata kama fans wake sio kumuingilia mambo yake ya ndanii, na ana haki hata ya kuwasemea ovyo, .
Sawa mambo yake ya ndani sasa sisi ya nn na anatuonyesha ili iweje na anatuonyesha anategemea comment gani kutoka kwetu .ifike stage akue na aache ulimbukeni dunia nzima inajua yy ndo anayemgonga zari ya nn tena kutuonesha ss

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekupenda bure Diamond...
Wabongo kwa unafiki...
Eti kulia ni lazima?
Mi nilidhani ni hisia...
Na kila mtu ana jinsi yake ya kudeal na hisia zake...

Wanaleta za kabila fulani ambao kulia lazima else umemuua marehehemu...

Wakomeshe hao na upweke na stree zao...
 
Vichupi kunuka? Hao si ndo fans wake kutwa kununua Karanga, pafyumu, na show zake?

Lijamaa limelewa sifa asee!
Hebu fans wake mgomeeni Kazi zake huyu boya arudi tandale akauze mitumba na mama ake...mxiuuuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Si chupi kunuka kama wewe tangu lini akatutukana fans wake wewe utakuwa umetokea kule mlengo wa kushoto unataka kumgombanisha na shabki zakee, nyie kila analofanya si ndio mnajadiligi
 
Sijafurahi kitendo alicho Fanya ,its OK kuishi kistar lakin hapana mbona mastar kibao duniani wakumzidi lakin hawafanyi ya hovyo kama huyu shetani.mfano.mzuri alikiba safi kabisa kaka wa watu masikini hanaga ujinga ujinga na hatakama anafanya inakua ni siri yake bora tu na nasema kuanzia Leo natamka rasmi sio fan wa diamond na hamia kwa alikiba officially sio kwa kwa usenge aliouandika .yani nahisi kutapika ngoja ni hishie hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
Tangu lini washabiki wa kiba mkafurahia matendo ya diamond ukiamua kufanya kazi ya shetani mshike hasaaaaa kiba mnafiki tu anajitia mtu wa Mungu kutwa kukata viuno kwenye stage yeye na mond wametofautiana nn wote wanamtumikia shetani .
 
Back
Top Bottom