miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,811
- 49,053
Sawa mkuu weekend njemaSorry..
.....Mambo ya ndani ni yepi ikiwa wao wenyewe mambo yao ya faragha wanayamwaga mitandaoni daily ?ni wale fans zake wanafki na wanaopenda kushabikia mambo yasiyowahusu,hata kama fans wake sio kumuingilia mambo yake ya ndanii, na ana haki hata ya kuwasemea ovyo, .
...Sawa but kumbuka pesa huwa inakata pia, si umesikia tajiri wa Nigeria Dangote kaporomoka kiutajiri kutoka nafasi ya 50 mpaka 100?Hata wakimgomea kama ni mafanikio teyari anayo, Pesa ipo.
hivi inamfaa nini mtu kuupata ufalme na utajiri wote wa dunia hii lakini mwisho wake ukawa moto wa milele? siwahukumu hawa kwamba wataenda motoni, ila namshauri zari na daimond wampokee Yesu. x wa zari alikuwa mganga wa kienyeji huko south, dai mwenyewe haeleweki kuna doubts kibao. aina ya maisha kama hayo yaniepuke mbali, bora nimpate Mungu.DIAMOND AWATOLEA MAPOVU WANAOMPONDA ZARI. . By diamondplatnumz - Kuna vichupi kunuka wanajifanya wanajua sana uchungu wa Misiba ya watu.... Mtoto wa watu katoka katika matatizo mfululizo, anatakiwa apelekwe sehem tulivu apetiwepetiwe apate faraja!...sasa kama nyie hamna mabwana wa kuwafanyia hayo, Msijifanye ni Tamaduni na kulazimisha kila mtu awe kama nyie, eti kutwa nzima ajifungie chumbani kulia... Pambaneni na Mahusiano yenu...! Nina siku 5 za kumpetipeti... leo ndio kwanza Ya kwanza
View attachment 553109
....Hapana siyo star ni mkulima wa vitunguu kule Lumuma.Jiwe gizani......hivi Kiba nae ni star?
hivi inamfaa nini mtu kuupata ufalme na utajiri wote wa dunia hii lakini mwisho wake ukawa moto wa milele? siwahukumu hawa kwamba wataenda motoni, ila namshauri zari na daimond wampokee Yesu. x wa zari alikuwa mganga wa kienyeji huko south, dai mwenyewe haeleweki kuna doubts kibao. aina ya maisha kama hayo yaniepuke mbali, bora nimpate Mungu.
Dawa ya waswahili ni kwenda nao kiswwhili swahili tu.!
Best comment of the day in short jamaa hajielewiVichupi kunuka ndio wanunuzi wazuri wa karanga na show zako wanahudhuria
sio kila anaekukosoa ni hater na sio kila team mond ni team zari..
ifike mahala Mr naseeb ujitambue hata kama star kuna vitu inabidi uweke private, maana vinaleta mpasuko tu katika fans wako.
Huko kufarijiana sio lazima mpost IG au muajiri photographer mshakua ma star picha zitajileta.
em kuweni wakubwa, mna watoto sasa.
pambaneni na watoto wenu mnatia aibu sana.
wasanii kioo cha jamii, mnatufanya wabongo wote tuonekane malimbukeni....
Grow up nigga...
Sent using Jamii Forums mobile app
Embu nusa chupi yako kwanza!!Domo hutrend kwa kazi yako ya mziki bali una trend kwa mambo ya kipuuzi. Madogo zako unaowalea wanakuja kwa kasi ww umezembea vijimbo vyako vitatu vyote chaliii lazima uchanganyikie. Aktini porn kabisa na huyo malaya wako ndo tutashika mapunga nyie mnakera sana. Bibi jitu zima na watoto linaonyesha maungo ya ndani mitandaoni kama siyo upunguani n nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kibibi kimelala .
sent from my iPhone 7s using JamiiForum mobile app.
Yupo kazini anachojari pesahuyo anayewapiga picha anakazi.. wenzake wanagegedana yeye anazunguka zunguka kuwafotoa.