Diamond awatolea mapovu wanaomsakama Zari

Diamond awatolea mapovu wanaomsakama Zari

DIAMOND AWATOLEA MAPOVU WANAOMPONDA ZARI. . By diamondplatnumz - Kuna vichupi kunuka wanajifanya wanajua sana uchungu wa Misiba ya watu.... Mtoto wa watu katoka katika matatizo mfululizo, anatakiwa apelekwe sehem tulivu apetiwepetiwe apate faraja!...sasa kama nyie hamna mabwana wa kuwafanyia hayo, Msijifanye ni Tamaduni na kulazimisha kila mtu awe kama nyie, eti kutwa nzima ajifungie chumbani kulia... Pambaneni na Mahusiano yenu...! Nina siku 5 za kumpetipeti... leo ndio kwanza Ya kwanza
View attachment 553109
Limbukeni wa maisha huyu,uliambiwa kumpekeka mtu ili umliwaze ndio uweke matangazo,kwani usinge post huo uhayawani na upumbavu nani angeona,jiangalie wewe usije ukawa kituko katika jamii
 
Tangu lini washabiki wa kiba mkafurahia matendo ya diamond ukiamua kufanya kazi ya shetani mshike hasaaaaa kiba mnafiki tu anajitia mtu wa Mungu kutwa kukata viuno kwenye stage yeye na mond wametofautiana nn wote wanamtumikia shetani .
Hahahahah umeona eeeeeh
 
Limbukeni wa maisha huyu,uliambiwa kumpekeka mtu ili umliwaze ndio uweke matangazo,kwani usinge post huo uhayawani na upumbavu nani angeona,jiangalie wewe usije ukawa kituko katika jamii
Kama hataki kukosolewa anapost hizo moments ili iweje???Kama yeye anaona sio sawa kukosolewa nafikiri na yeye sio sawa kuwapangia maoni watu
 
Tugome ili iweje.......pambana na mahusiano yako.!
Achana naye huyo kichupi kinuka mkojo,si ndo hawa hawa kutwa kumpondea yeye na afamilia yake, leo wameitwa vichupi kunuka mkojo wanajidai kupita mbali



HAHAHAAA WAMESAHAU CHIBU TOTO LA TANDALE USWAZI KARIBU NA UWANJA WA FISI EEEEHH!!!!!
 
Vichupi kunuka? Hao si ndo fans wake kutwa kununua Karanga, pafyumu, na show zake?

Lijamaa limelewa sifa asee!
Hebu fans wake mgomeeni Kazi zake huyu boya arudi tandale akauze mitumba na mama ake...mxiuuuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha

Wakome

Bibi tukinao aliwaita punda....

Huyu ben10 amewaita chupikunuka

Wakomeeeeee
 
Limbukeni wa maisha huyu,uliambiwa kumpekeka mtu ili umliwaze ndio uweke matangazo,kwani usinge post huo uhayawani na upumbavu nani angeona,jiangalie wewe usije ukawa kituko katika jamii
Povu la nini jombaa! Hizo picha ulitumiwa inbox au ulizifuata mwenyewe kwenye page yake?!

Simple Rules:
1. Shabikia kazi za msanii na sio maisha yake binafsi!!

2. Ukiona ana-post yale unayoona ni ya hovyo kwako, Unfollow, SIMPLE...!!

3. Kila mtu ana uhuru wa ku-post anachotaka provided havunji sheria za nchi na Instagram!!!

Usipozingatia hayo mambo matatu basi kila siku utakuwa mtu wa kumwaga mapovu na kuonekana mgeni wa social networks manake whether you like it or not, hayo yataendelea kutokea kila siku... iwe kutoka kwa Diamond au mwingine yeyote yule!!! Usipoyataka hayo, follow watu wanaoendana na maadili yako!! M-Follow Mjomba Mpoto au Uncle Kitine!!! Lakini unam-follow mwenyewe Vanessa su Shilole halafu unalalamika kuanika ujauzito wake Instagram!!!!
 
Habari wana jf katika hangaika hangaika zangu mitandaoni nikakutana na video ambayo inamuonesha Diamond platnumz akiwa na Zari the boss lady wakila raha.. Hii ni siku chache tu baada ya kutokea kwa msiba wa mama yake Zari ambaye ni mama Mkwe wa Platnum Simba na yaliyomo humo ndani ni majibu tosha juu ya wale wote wanaomnanga the boss lady juu ya kutokuwa na uchungu wa marehemu mama yake majibu yote yapo humu



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijafurahi kitendo alicho Fanya ,its OK kuishi kistar lakin hapana mbona mastar kibao duniani wakumzidi lakin hawafanyi ya hovyo kama huyu shetani.mfano.mzuri alikiba safi kabisa kaka wa watu masikini hanaga ujinga ujinga na hatakama anafanya inakua ni siri yake bora tu na nasema kuanzia Leo natamka rasmi sio fan wa diamond na hamia kwa alikiba officially sio kwa kwa usenge aliouandika .yani nahisi kutapika ngoja ni hishie hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
pambana na hali yako diamond hata hakujui kama wewe no fans wake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo naona c kwake haswa. Tatizo ni hawa vijana wetu wansokuangalia kama rol model wao, tabia ya kuweka mambo ya ndani mtandaoni itaharibu sana vijana wetu. Kwanza tayari wameshaharibika. Ninyi ni kioo cha jamii fanyeni yaliyomazuri jamani.
 
Back
Top Bottom