Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,559
- 11,180
Ila dogo kwa kweli amejitahidi ku-create ajira maana huyo msela (Mwarabu) kila sehemu anakwenda nae maana wengine baunsa akiwa hapa nchini akienda nje ya nchi anampotezea lakini msela trip nyingi anakwenda nae
Ila dogo kwa kweli amejitahidi ku-create ajira maana huyo msela (Mwarabu) kila sehemu anakwenda nae maana wengine baunsa akiwa hapa nchini akienda nje ya nchi anampotezea lakini msela trip nyingi anakwenda nae
Kuna dogo mwingine alichafua hali ya hewa naona kutwa kutoa michozi akihojiwa badala ya kuangalia way forward (it seem like anamkumbuka boss wake)Bila kumsahau mpiga picha kifesi
Wewe tangu lini umekuwa shabiki wa Mondi?Sijafurahi kitendo alicho Fanya ,its OK kuishi kistar lakin hapana mbona mastar kibao duniani wakumzidi lakin hawafanyi ya hovyo kama huyu shetani.mfano.mzuri alikiba safi kabisa kaka wa watu masikini hanaga ujinga ujinga na hatakama anafanya inakua ni siri yake bora tu na nasema kuanzia Leo natamka rasmi sio fan wa diamond na hamia kwa alikiba officially sio kwa kwa usenge aliouandika .yani nahisi kutapika ngoja ni hishie hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe uliye mfollow ndo mwenye matatizo kwani kuna mahala amelitaja jina lako?Sawa mambo yake ya ndani sasa sisi ya nn na anatuonyesha ili iweje na anatuonyesha anategemea comment gani kutoka kwetu .ifike stage akue na aache ulimbukeni dunia nzima inajua yy ndo anayemgonga zari ya nn tena kutuonesha ss
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo diamond kwa mfano mama yake akifa na yeye atafanya hayo anayofanya na zari??
Sijafurahi kitendo alicho Fanya ,its OK kuishi kistar lakin hapana mbona mastar kibao duniani wakumzidi lakin hawafanyi ya hovyo kama huyu shetani.mfano.mzuri alikiba safi kabisa kaka wa watu masikini hanaga ujinga ujinga na hatakama anafanya inakua ni siri yake bora tu na nasema kuanzia Leo natamka rasmi sio fan wa diamond na hamia kwa alikiba officially sio kwa kwa usenge aliouandika .yani nahisi kutapika ngoja ni hishie hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
The best message from.diamond in yearsDIAMOND AWATOLEA MAPOVU WANAOMPONDA ZARI. . By diamondplatnumz - Kuna vichupi kunuka wanajifanya wanajua sana uchungu wa Misiba ya watu.... Mtoto wa watu katoka katika matatizo mfululizo, anatakiwa apelekwe sehem tulivu apetiwepetiwe apate faraja!...sasa kama nyie hamna mabwana wa kuwafanyia hayo, Msijifanye ni Tamaduni na kulazimisha kila mtu awe kama nyie, eti kutwa nzima ajifungie chumbani kulia... Pambaneni na Mahusiano yenu...! Nina siku 5 za kumpetipeti... leo ndio kwanza Ya kwanza
View attachment 553109
Una uhakika hautaenda motoni?hivi inamfaa nini mtu kuupata ufalme na utajiri wote wa dunia hii lakini mwisho wake ukawa moto wa milele? siwahukumu hawa kwamba wataenda motoni, ila namshauri zari na daimond wampokee Yesu. x wa zari alikuwa mganga wa kienyeji huko south, dai mwenyewe haeleweki kuna doubts kibao. aina ya maisha kama hayo yaniepuke mbali, bora nimpate Mungu.
Of course, naweza kabisa kusamehe!
kwa hiyo wewe umeshajihakikishia huendi motoni? hakuna watu wanafiki kama walokolehivi inamfaa nini mtu kuupata ufalme na utajiri wote wa dunia hii lakini mwisho wake ukawa moto wa milele? siwahukumu hawa kwamba wataenda motoni, ila namshauri zari na daimond wampokee Yesu. x wa zari alikuwa mganga wa kienyeji huko south, dai mwenyewe haeleweki kuna doubts kibao. aina ya maisha kama hayo yaniepuke mbali, bora nimpate Mungu.
The FACT isanaishi maisha anayotaka yeye na sio mnayotaka ninyi ......PERIODwewe unaejipa usemaji mkuu wa madale ndio upambane na matusi yako.
hakuna wa kupambana na chupi zake hapa, huyu boss wako labda ndio apambane na familia yake aliorithishwa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
lazima aambiwe fact......
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23The FACT is...anaishi maisha anayotaka yeye na sio mnayotaka ninyi vinuka mkojo......PERIOD
Pambana na hali yako maisha ya watu hayakuhusu
Sent using Jamii Forums mobile app