Diamond awatolea mapovu wanaomsakama Zari

Diamond awatolea mapovu wanaomsakama Zari

Bila kumsahau mpiga picha kifesi
Ila dogo kwa kweli amejitahidi ku-create ajira maana huyo msela (Mwarabu) kila sehemu anakwenda nae maana wengine baunsa akiwa hapa nchini akienda nje ya nchi anampotezea lakini msela trip nyingi anakwenda nae
 
Atakuwa anamwambia Mange maana aliponda sana madame Rita analia Zari anamtumbua chunusi Diamond
 
Huyo ndio msanii wetu wa kimataifa anatoa maneno makali hivyo vichupi kunuka?? Daah
 
Sijafurahi kitendo alicho Fanya ,its OK kuishi kistar lakin hapana mbona mastar kibao duniani wakumzidi lakin hawafanyi ya hovyo kama huyu shetani.mfano.mzuri alikiba safi kabisa kaka wa watu masikini hanaga ujinga ujinga na hatakama anafanya inakua ni siri yake bora tu na nasema kuanzia Leo natamka rasmi sio fan wa diamond na hamia kwa alikiba officially sio kwa kwa usenge aliouandika .yani nahisi kutapika ngoja ni hishie hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe tangu lini umekuwa shabiki wa Mondi?
 
Sawa mambo yake ya ndani sasa sisi ya nn na anatuonyesha ili iweje na anatuonyesha anategemea comment gani kutoka kwetu .ifike stage akue na aache ulimbukeni dunia nzima inajua yy ndo anayemgonga zari ya nn tena kutuonesha ss

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe uliye mfollow ndo mwenye matatizo kwani kuna mahala amelitaja jina lako?
 
Nakumbuka mzee mmoja aliwahi niambie kwamba UMASIKINI NI MBAYA SANA kila kitu ambacho unauwezo nacho utakichukia sana. Ona mapovu yao sasa ju ya bwana diamond [emoji184]. Cha muhimu hapa kila mtu apambane na hali yake tu
 
Sijafurahi kitendo alicho Fanya ,its OK kuishi kistar lakin hapana mbona mastar kibao duniani wakumzidi lakin hawafanyi ya hovyo kama huyu shetani.mfano.mzuri alikiba safi kabisa kaka wa watu masikini hanaga ujinga ujinga na hatakama anafanya inakua ni siri yake bora tu na nasema kuanzia Leo natamka rasmi sio fan wa diamond na hamia kwa alikiba officially sio kwa kwa usenge aliouandika .yani nahisi kutapika ngoja ni hishie hapa

Sent using Jamii Forums mobile app

Yote hiyo n pesa uyo unae msema hana PESA za kufanya hayo yote.pia maisha yake siyo nyimbo kua akufurahishe ww sw. Pambana n hali yako tu. Ndio suluhisho ya yote
 
DIAMOND AWATOLEA MAPOVU WANAOMPONDA ZARI. . By diamondplatnumz - Kuna vichupi kunuka wanajifanya wanajua sana uchungu wa Misiba ya watu.... Mtoto wa watu katoka katika matatizo mfululizo, anatakiwa apelekwe sehem tulivu apetiwepetiwe apate faraja!...sasa kama nyie hamna mabwana wa kuwafanyia hayo, Msijifanye ni Tamaduni na kulazimisha kila mtu awe kama nyie, eti kutwa nzima ajifungie chumbani kulia... Pambaneni na Mahusiano yenu...! Nina siku 5 za kumpetipeti... leo ndio kwanza Ya kwanza
View attachment 553109
The best message from.diamond in years
 
hivi inamfaa nini mtu kuupata ufalme na utajiri wote wa dunia hii lakini mwisho wake ukawa moto wa milele? siwahukumu hawa kwamba wataenda motoni, ila namshauri zari na daimond wampokee Yesu. x wa zari alikuwa mganga wa kienyeji huko south, dai mwenyewe haeleweki kuna doubts kibao. aina ya maisha kama hayo yaniepuke mbali, bora nimpate Mungu.
Una uhakika hautaenda motoni?
 
Kwa hiyo kama mtu kafa ndio na wengine wafe? Maisha ni lazima yaendelee. Kama msiba ni uchungu sana kwa nini watu wanapika na kula. Wakimaliza kula ndio wanaanza kulia upya. Let them have fun

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hivi inamfaa nini mtu kuupata ufalme na utajiri wote wa dunia hii lakini mwisho wake ukawa moto wa milele? siwahukumu hawa kwamba wataenda motoni, ila namshauri zari na daimond wampokee Yesu. x wa zari alikuwa mganga wa kienyeji huko south, dai mwenyewe haeleweki kuna doubts kibao. aina ya maisha kama hayo yaniepuke mbali, bora nimpate Mungu.
kwa hiyo wewe umeshajihakikishia huendi motoni? hakuna watu wanafiki kama walokole
 
wewe unaejipa usemaji mkuu wa madale ndio upambane na matusi yako.
hakuna wa kupambana na chupi zake hapa, huyu boss wako labda ndio apambane na familia yake aliorithishwa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
lazima aambiwe fact......

Sent using Jamii Forums mobile app
The FACT isanaishi maisha anayotaka yeye na sio mnayotaka ninyi ......PERIOD

Pambana na hali yako maisha ya watu hayakuhusu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maajabu hapo, wapo kinadada wanajifanya wanajua kumsakama huyo jamaa mno na maisha yake kama vile wamemdhamini pumzi.

Wengine wakimwita domo mara mbaya, wakati akiombwa mzigo hata kwenye zizi la Ng'ombe upande wenye mbolea anaweza kulala akatanua miguu. Huo ubaya atakaokuwa anausema ni upi?

Kama aliweka kwenye akaunti yake hukupendezwa nayo, kilichokutuma ukaangalie ni kipi? Kama si kimbele front chako, wengine humu mna machafu hata Diamond akisimamishwa nanyi ataonekana malaika.
Kwanini msidili na yenu?

Ajabu jingine ni mtoto wa kiume naye kutoa kashfa hapo, nashangaa mno tumtofautishe vipi na hao mabinti. Mwacheni na maisha yake
 
The FACT is...anaishi maisha anayotaka yeye na sio mnayotaka ninyi vinuka mkojo......PERIOD

Pambana na hali yako maisha ya watu hayakuhusu

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23

Unaonaje ukipambana na majukumu yako ,ukaacha kumjibia huyo domo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kama anakupa karanga za bure[emoji23][emoji23]

ukweli ndio ameambiwa na ndio maana akapanic
 
Back
Top Bottom