Pambana na maisha yako na huo ukweli wako kaweke mezani ule na wanao maana yeye hana habari nao anakula tu bata taratiiibu[emoji23][emoji23]bullshit
Pambana na pampas zako.
Unaonaje ukipambana na majukumu yako ,ukaacha kumjibia huyo domo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kama anakupa karanga za bure[emoji23][emoji23]
ukweli ndio ameambiwa na ndio maana akapanic
hivi mimi na wewe nani anashadadia maisha ya watu?Pambana na maisha yako na huo ukweli wako kaweke mezani ule na wanao maana yeye hana habari nao anakula tu bata taratiiibu
Kazi kwenu vinuka chupi kushadadia maisha ya watu
Sent using Jamii Forums mobile app
hahahahaha sipati picha hizi picha zinavyo waumiza watanzania.....hahahaha
Wapambe WA kibakuli ndio alafu kuhusu swala la karanga hata kibakuli anakaranga sake zimetokaVichupi kunuka? Hao si ndo fans wake kutwa kununua Karanga, pafyumu, na show zake?
Lijamaa limelewa sifa asee!
Hebu fans wake mgomeeni Kazi zake huyu arudi tandale akauze mitumba
Sent using Jamii Forums mobile app
Ww in wale chupi kunuka siku nyingi sanaSijafurahi kitendo alicho Fanya ,its OK kuishi kistar lakin hapana mbona mastar kibao duniani wakumzidi lakin hawafanyi ya hovyo kama huyu
mfano.mzuri alikiba safi kabisa kaka wa watu masikini hanaga ujinga ujinga na hata kama anafanya inakua ni siri yake bora tu na nasema kuanzia Leo natamka rasmi sio fan wa diamond na hamia kwa alikiba officially
Sent using Jamii Forums mobile app
Ooh shit!Of course, naweza kabisa kusamehe!
But remember, nikisema kusamehe not necessarily kwamba naweza kuendelea nae!
Kichupi kunuka mwengine huu .. tafuta vyako wewe acha chuki za kishetani.Limbukeni akipata...............
Kichupi kunuka mwengine huu .. tafuta vyako wewe acha chuki za kishetani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo umeambiwa kafue chup ili upambane na hali yako sio kufuatilia ya kwakeIla hili jianaume lina mdomo mchafu! Ni kweli raia wanamfuatilia mno ila amekosa lugha ya staha?
Na hao mafans wake yanatukanwa bado yanaendelea kumpraise...Ujinga mtupu
Kafue chup huko
Ahaaaaa ahaaaaa....mkuu umeuaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122]Domo kubwa matusi kibao
Kipi kinakufanya uamini kuwa hao wapiga kelele ni fans wake?Vichupi kunuka? Hao si ndo fans wake kutwa kununua Karanga, pafyumu, na show zake?
Lijamaa limelewa sifa asee!
Hebu fans wake mgomeeni Kazi zake huyu arudi tandale akauze mitumba
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani jamaa anafikiri fans na haters ni interchangeable words!Hao vichupi kunuka si ndo kama weweee, au unafikir wamelengwa kina nan zaid yako wewe kichupi kunuka na vichupi kunuka wenzio