Diamond awatolea mapovu wanaomsakama Zari

Diamond awatolea mapovu wanaomsakama Zari

[emoji23][emoji23]bullshit

Pambana na pampas zako.
Unaonaje ukipambana na majukumu yako ,ukaacha kumjibia huyo domo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kama anakupa karanga za bure[emoji23][emoji23]

ukweli ndio ameambiwa na ndio maana akapanic
Pambana na maisha yako na huo ukweli wako kaweke mezani ule na wanao maana yeye hana habari nao anakula tu bata taratiiibu
Kazi kwenu vinuka chupi kushadadia maisha ya watu


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aliyeandika ni mwanaume kweli? Kama ni kweli jamaa ana vielements vya ukike kike
 
Pambana na maisha yako na huo ukweli wako kaweke mezani ule na wanao maana yeye hana habari nao anakula tu bata taratiiibu
Kazi kwenu vinuka chupi kushadadia maisha ya watu


Sent using Jamii Forums mobile app
hivi mimi na wewe nani anashadadia maisha ya watu?
mimi ndio nilienda kumwambia kuwa asiweke chupi za mkewe IG...
si kajishtukia ndio kajikuta kasema, na mimi nikasapoti kuwa ni upuuzi..
badala ya kupambana na watoto aliorithishwa anapambana nasisi tunaomwambia ukweli.

nikuulize wewe, kama unaona boss wako anafanya vizuri wewe mbona huweki picha zako na mkeo kama anavofanya boss wako humu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
20398441_1723357517967615_1158955645894918144_n.jpg
20393644_1829196610429933_3504629142429630464_n.jpg
 
Sijafurahi kitendo alicho Fanya ,its OK kuishi kistar lakin hapana mbona mastar kibao duniani wakumzidi lakin hawafanyi ya hovyo kama huyu

mfano.mzuri alikiba safi kabisa kaka wa watu masikini hanaga ujinga ujinga na hata kama anafanya inakua ni siri yake bora tu na nasema kuanzia Leo natamka rasmi sio fan wa diamond na hamia kwa alikiba officially

Sent using Jamii Forums mobile app
Ww in wale chupi kunuka siku nyingi sana
Hii nyuzi sio ya kibakuli wenu
 
Ila hili jianaume lina mdomo mchafu! Ni kweli raia wanamfuatilia mno ila amekosa lugha ya staha?
Na hao mafans wake yanatukanwa bado yanaendelea kumpraise...Ujinga mtupu
Ndo umeambiwa kafue chup ili upambane na hali yako sio kufuatilia ya kwake
 
Vichupi kunuka? Hao si ndo fans wake kutwa kununua Karanga, pafyumu, na show zake?

Lijamaa limelewa sifa asee!
Hebu fans wake mgomeeni Kazi zake huyu arudi tandale akauze mitumba

Sent using Jamii Forums mobile app
Kipi kinakufanya uamini kuwa hao wapiga kelele ni fans wake?
Hili neno fans naona mnalichukulia poa sana eh?unaona shida gani hao "vichupi kunuka" kuwaita haters badala ya fans wa zari-mond?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom