Diamond awatumbua waliosema hana uwezo wa kununua nyumba South Africa

I agree with you had tufike hata level ya tecno itatuchukua more than 20years. Kushindwa kwetu tukubali mziki wetu haujafika mbali.
 
Watanzania tuna tatizo kubwa sana..hatupendi wala kuthamini vilivyo vyetu
Vionjo vya Naija & South si utamaduni wetu, na siwezi kuthamini eti kisa ni Mtz mwenzangu hapo nitakuwa naidanganya nafsi yangu..
 
I agree with you had tufike hata level ya tecno itatuchukua more than 20years. Kushindwa kwetu tukubali mziki wetu haujafika mbali.
Sio kweli mwaka jana diamond alishinda
Mtv best live act
Mtv ema europe live act
Mtv ema world wide act( hakuna msanii wa africa ameshawahi shinda zaidi ya diamond)
Kukosa mwaka huu sio hoja kabisa ni kawaida tu kwenye ushindani
 
Umekariri mkuu
Diamond ndo msanii pekee wa africa alieshinda
Mtv mama Best live act
Mtv ema europe live act
Mtv ema world wide act
Mziki wa kuunga unga huwezi shinda tuzo kubwa zote hizo
Shirikisha ubongo angalau kidogo wakati unapambanua jambo
 
Dar kiwanja tu huwa ghali bado na nyumba ndo isiseme na unakuta nyumba mbovu, kiwanja kidogo. Last year mbezi beach kiwanja tu hakijajengwa kilikua kinauzwa billion moja na nusu
Bilioni moja na nusu kibongobongo ni milioni 300 iyo nyingi panga la madalali.
 
Hongera yake kwa kweli nyumba sio nywele kusema kila sehemu ya mwil znaota
 
Ha ha ha. Wamesema "nyie mnazima maiki wao wanazima tuzo"
Mmmhhh domo kapanic hataree sio kwa povu hilo.
Ila hongera yake.
 
Akili zingine bhana sasa nyumba na tuzo zinahusiana vipi?
Wewe hukuona siku alipotangaza amenunua nyumba watu walimshambulia kawadanganya hana uwezo, leo kaamua kuwajibu mnasingizia tuzo
Hili wazo limemjia baada ya kukosa tuzo na huo ndio ukweli, wote tunajua maumivu mtu anayopitia pale malengo aliyotegemea kuyatimiza yanaposhindikana..
 
Hili wazo limemjia baada ya kukosa tuzo na huo ndio ukweli, wote tunajua maumivu mtu anayopitia pale malengo aliyotegemea kuyatimiza yanaposhindikana..
Sio kweli hiyo nyumba tangu anunue hakupata muda wa kwenda kuiona ndo kaenda sasa
Kuhusu tuzo diamond alishatoa mtazamo wake jamaaa sio mtu wa kutafuta visingizio akikosa tuzo

Amesha move on kuhusu tuzo na tangu jana wanashoot video za nyimbo zake na video za rich mavoko
Nyie ndo bado mnalia lia kuhusu tuzo
Kwaiyo sasahivi mtu asifanye kitu basi mnahusisha na tuzo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…