Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,271
I agree with you had tufike hata level ya tecno itatuchukua more than 20years. Kushindwa kwetu tukubali mziki wetu haujafika mbali.Hata huyu aliyeweka huu uzi ameuweka kwa hasira ili kuwaumiza moyo ule upande wa pili, ila haiondoi ukweli kwamba "dawa ya kuondoa maumivu ya kukosa mwali, ni kukubali kuwa bado mziki wetu ni wakuunga unga" na bado tunasafari ndefu ya kuwafikia wenzetu.