Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwaka huu kazi anayoNasikia baada ya kuona mjengo wa kiba na yeye kaanza kupost take ya SA
Hizo picha zinazopostiwa na mashabiki wa Kiba ni za uongo. Hiyo sio nyumba ya Kiba ni showroom ya duka. Wenye duka wamepost pia. Kiba hana nyumba ya hadhi hiyo stop lying.Nasikia baada ya kuona mjengo wa kiba na yeye kaanza kupost take ya SA
That was not in response to Kiba's fans. Embu fanyeni hata research au kufuatilia mambo before writing stuff kama vile una proof. Do you remember the time Diamond alipost hii nyumba akasema amemnunulia Zari? Do you remember how many people walitokwa na mapovu kusema sio yake na kwamba iko kwenye market? Do you remember watz walipiga simu South kwa Estate Agent? Akina Mange Kimambo walivyoshangilia kusema Dai hawezi afford kununua hiyo nyumba?Haya mambo ya kitoto anayoyafanya Diamond yanampotezea sana mashabiki wastaarabu, yeye ni msanii mkubwa anayeheshimika Africa atajibishanaje na mafans wa Kiba, ujinga mtupu anaoufanya.
Ndio mjue soko la Tz halina regulations na ni uwizi mtu. Just the fact that you can buy a house in SA with less money than you can buy one in Tz and not a similar quality house or area should tell you that in Tz watu wanaibiwa.South nyumba bei chee kuliko Tanzania hasa maeneo ya kitajiri, Tanzania Dar kun maeneno nyumba ya kawaida usd 200000, south unanunua hekalu kabisaaa. So ni uamuzi nafuu kwake kama mwanamuziki, itamsaidia... ila inaonekana kijana anaanza kuwaogopa kina nanilii
Engage your brain basi kidogo. Last year Diamond kachukua tuzo mbili MTVMAMA. Kukosa this year ndio unafikiri kuna muuma?Hili wazo limemjia baada ya kukosa tuzo na huo ndio ukweli, wote tunajua maumivu mtu anayopitia pale malengo aliyotegemea kuyatimiza yanaposhindikana..
That was not in response to Kiba's fans. Embu fanyeni hata research au kufuatilia mambo before writing stuff kama vile una proof. Do you remember the time Diamond alipost hii nyumba akasema amemnunulia Zari? Do you remember how many people walitokwa na mapovu kusema sio yake na kwamba iko kwenye market? Do you remember watz walipiga simu South kwa Estate Agent? Akina Mange Kimambo walivyoshangilia kusema Dai hawezi afford kununua hiyo nyumba?
Do you remember? Well, this post is to all those people who doubted him. Nothing to do with Kiba or stupid Ali Kiba fans. ( Ali is not stupid but most of his fans who hate Diamonds are)
Engage your brain basi kidogo. Last year Diamond kachukua tuzo mbili MTVMAMA. Kukosa this year ndio unafikiri kuna muuma?
Told you to engage your brain. Take your stupidity and lying mouth somewhere else. Ukisema ukweli utapungukiwa nini? Yes ana tuzo mbili na simuonei wivu but that's the truth. Now find a seat and sit down.Izo tuzo mbili wewe ulinufaika na nini hapo??
Tafuta pesa achana na mambo ya wengine
Kajambe mbele huko. Broken English unaijua wewe? Embu andika yako basi tuone. You don't even know broken English if you saw one. Now, cha msingi hapa sio English cha msingi usilete comments usizokua na uhakika nazo. Utaambiwa ukweli tu. Yes amenisaidia maana mziki wa Tz unasikilizwa na kutambuliwa Africa na nje ya Africa.Na utuambie huyo diamond aka kokoto anakusaidia nini wewe na jamii yako sio unatujazi mimate tuu mitandaoni na broken English yako
mkuu mil mia nne hizo au naotaSouth nyumba bei chee kuliko Tanzania hasa maeneo ya kitajiri, Tanzania Dar kun maeneno nyumba ya kawaida usd 200000, south unanunua hekalu kabisaaa. So ni uamuzi nafuu kwake kama mwanamuziki, itamsaidia... ila inaonekana kijana anaanza kuwaogopa kina nanilii
dar mnalalamika viwanja ghal wakat nasikia na kuona kigambon kuuna viwanja mpk mil 2 mwisho wa matatizo njo arusha na moshi alaf ulizia kiwanja nje ya mji utasikia raha aiseeDar kiwanja tu huwa ghali bado na nyumba ndo isiseme na unakuta nyumba mbovu, kiwanja kidogo. Last year mbezi beach kiwanja tu hakijajengwa kilikua kinauzwa billion moja na nusu
Hao watakaopotea watakua sio fans wake...Haya mambo ya kitoto anayoyafanya Diamond yanampotezea sana mashabiki wastaarabu, yeye ni msanii mkubwa anayeheshimika Africa atajibishanaje na mafans wa Kiba, ujinga mtupu anaoufanya.
Mkuu hujui unaongea niniBilioni moja na nusu kibongobongo ni milioni 300 iyo nyingi panga la madalali.
Ndio mjue soko la Tz halina regulations na ni uwizi mtu. Just the fact that you can buy a house in SA with less money than you can buy one in Tz and not a similar quality house or area should tell you that in Tz watu wanaibiwa.
Acha kutukatisha tamaa we jamaa! Yaani kutopata tuzo za MTVMAMA mwaka huu ndo kiashiria cha mziki wetu kuwawa kuunga unga??? Kuna tuzo ngapi mwaka huu huu zimekuja hapa bongo?? Hiyo MTVMAMA tumeingiza nominees wangapi?? Watu kama nyie hamfai kabisa katika jambo la maendeleo. Tatizo lenu [HASHTAG]#too[/HASHTAG] much!Hata huyu aliyeweka huu uzi ameuweka kwa hasira ili kuwaumiza moyo ule upande wa pili, ila haiondoi ukweli kwamba "dawa ya kuondoa maumivu ya kukosa mwali, ni kukubali kuwa bado mziki wetu ni wakuunga unga" na bado tunasafari ndefu ya kuwafikia wenzetu.