Diamond aweka recodi nyingine nchini congo

heaven on desert

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2013
Posts
1,025
Reaction score
393
Ni nchini Congo on ziara yake ya music..akiwa kwenye msafara uliokuwa ukilindwa na maaskari na wanajeshi wa nchi hiyo ili tu diamond asipate madhara yoyote toka kwa umati mkubwa wa watu waliojitokeza baada ya kujua Diamond angepita maeneo hayo,baadhi ya watu nchini congo wamesema haijawahi tokea nchini humo mtu maarufu kufatwa na umati mkubwa kama ule
..IFIKE HATUA BAADHI YA WATANZANIA WANAO HATE,TUTOE SUPPORT NA TUKUBARI KILE ANCHOKIFANYA NA KUTANGAZA VIZURI NCHI YETU,KWA NINI NCHI ZA WENZETU WANASHOW LOVE YA KIASI HIKI,KWA NN SS??
PICHANI NI DIAMOND AKIWA ON COMBAT ZA JESHI LA CONGO NA UMATI ULOJITOKEZA NJIANI.......
its GOOD IDEAS that y mashabiki awachoki kwenda kwenye show zake kwan kila show analeta vitu vipya ndomana ndo msanii anayelipwa mkwanja mrefu kwa show moja..big up DIAMOND PLATNUMZ endealea kufanya kazi nzuriii.
 
Analipi kubwa la kunishawishi mimi mpaka ni msupport huyu dogo.anaimba nini cha kunishawishi na style za kihunihuni.mpe dadako umsupport
 
mbona kama vijijini vile afu Congo ni kawaida ya kuwalinda foreigners wote wanaoenda huko
 
Tatizo lako una fikiri watu wana chukia music wa diamond! pengine ungeuliza wana chukizwa na nini kutoka kwake!
Alaf anayependwa hawezi kukosa wa kumchukia that is human nature!

alaf nilidhani kuna mtu mwingine ameleta hii habari kumbe ni wewe!
 
Haterz wengi mhh kweli iliandikwa nabii hakubaliki kwao.
 
Hakuna uhusiano wa picha la kusanyiko la watu na Diamond!!Arafu mbona Diamond kawa mweupe sana au har ya hewa ya Congo

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Mnaponda upuuzi tu,ndo haya haya mlifanya kwa marehem stevn kanumba,kaenda big brthr karud mkaanza majungu,pumbav zenu.
 
Mbona hzo picha hata haziendani na hii hadithi yako joh?
 
Picha mbili hazina uhusiano. Ni record ipi unayoiongelea? Kabla ya diamond kuvunja rekodi ilikuwa inashikiriwa na nani?
 
Kwani.diamond ana kadi ya chama.chetu? Angekuwa nayo hata asingekuwa star tungemuita kamanda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…