Diamond azawadiwa certificate na YouTube baada ya kufikisha 3m subcriber

Hziyech22

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2019
Posts
15,351
Reaction score
21,362
Msanii wa kimataifa kutoka Tanzania Diamond Platnumz aweka record ya kuwa most African artist mwenye subcribers wengi baada ya kufikisha million 3 na hii imefanya uongozi wa YouTube kumpa certificate Kama zawadi.

Nampa pongezi kijana wa Tandale wazungu wanamsemo "Work hard pay off"
 
Dah..
Mfululizo wa uzi za mwendokasi JF balaa...

Mtu kama anaongea na mchepuko bar...
 
Kwani habari inatakiwa iweje?
Hv ni vitu vyakawaida sana nandio maana hata wao YouTube hawana muda wa kukupiga picha na kukutangaza wanapokugea na ndio maana zile award zao huwa wanatuma tu mnacontact kutumia email wanakutumia tu shughuli imeisha hivyo.

Kama huzijui ni hizo [emoji116]
images%20(3).jpeg
 
Msanii wa kimataifa kutoka Tanzania Diamond Platnumz aweka record ya kuwa most African artist mwenye subcribers wengi baada ya kufikisha million 3 na hii imefanya uongozi wa YouTube kumpa certificate Kama zawadi.

Nampa pongezi kijana wa Tandale wazungu wanamsemo "Work hard pay off"
Huyo jamaa ananunua sana viewers. Halafu tambua kwamba Ali kiba ana hiyo certificate tangu mwaka juzi sema huwa hapendi show off za kishamba
 
"Most" african artist mwenye subscribers wengi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo jamaa ananunua sana viewers. Halafu tambua kwamba Ali kiba ana hiyo certificate tangu mwaka juzi sema huwa hapendi show off za kishamba
Hommie tatizo wengi hatufuatili vitu na hatujui ndio tatizo linaanzia hapo hao sub mm sioni umuhimi wake hata maana kuna mtu huyo anaitwa Alan Walker ukienda angalia nyimbo zake ni 100M+ views nakuendelea lakini angalia hao sub wake sasa wadogo! lakini kila midundo yake mingi views ni zaidi ya 100M+ kwahiyo nyimbo zikiwa kali tu hazitaki hata uwenasub wengi au wadogo sub nikama followers IG muda wowote wanaweza pungua au ongezeka.
 
Kuna Dogo yutbe ana 56M subscribers na sijawahi kusikia akijimwambaFY.
 
Hv ni vitu vyakawaida sana nandio maana hata wao YouTube hawana muda wa kukupiga picha na kukutangaza wanapokugea na ndio maana zile award zao huwa wanatuma tu mnacontact kutumia email wanakutumia tu shughuli imeisha hivyo.

Kama huzijui ni hizo [emoji116]View attachment 1347669
Wewe ndio sio muelewa hizo reward zinaviwango wasanii kibao wanazo tu kulingana na kigezo cha kufikisha idadi furani na hii ya sasa ya 3M then kuwa wakwanza EastAfrica and Sub ni yeye tu aliyeipata hajawai pata mwengine.

Tofautisha ile yakufikisha Subscribe 200K wasanii kibao wanayo hata Mond anayo hii ni nyengine hana msanii yoyote Yule Tz.

Portfolio | 2020
 
Hommie tatizo wengi hatufuatili vitu na hatujui ndio tatizo linaanzia hapo hao sub mm sioni umuhimi wake hata maana kuna mtu huyo anaitwa Alan Walker ukienda angalia nyimbo zake ni 100M+ views nakuendelea lakini angalia hao sub wake sasa wadogo! lakini kila midundo yake mingi views ni zaidi ya 100M+ kwahiyo nyimbo zikiwa kali tu hazitaki hata uwenasub wengi au wadogo sub nikama followers IG muda wowote wanaweza pungua au ongezeka.
Kufananisha Alan Walker na Diamond ni kukosa hekima na akiri.

Sawa na kumfananisha MO Dewji na Billigate.

Sawa na kumfananisha Fransic Cheka na Mywelther.

Sawa na kumfananisha Kagere na CR7.

Sawa na kumfananisha Gambo na Tom Cruise.

Sawa na kumfananisha Magu na Trump.

Lastly, Sawa na kuifananisha Tanzania na USA.

Point ni hii hawa watu wanatofautiana level na mazingira So tunapompigia debe Diamond ni sahihi amejitahidi kwa level yake na mazingira aliyopo.

Portfolio | 2020
 
Back
Top Bottom