- Thread starter
- #21
Mbona ajapost kwenye mitandao yake ya kijamii hayo makelele unayozungumzia yako wapi?Boss wenu...Kupewa certificate makelele kibao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona ajapost kwenye mitandao yake ya kijamii hayo makelele unayozungumzia yako wapi?Boss wenu...Kupewa certificate makelele kibao.
Analipa watu wampigie makelele.Mbona ajapost kwenye mitandao yake ya kijamii hayo makelele unayozungumzia yako wapi?
Unataka kuniambia analipa hata media kubwa za nje?Maana taarifa ya yeye kuongoza kwa subcribers wengi imetolewa pia na kituo Cha soundcity Cha south Africa pamoja pia mtandao mkubwa wa entertainment unaitwa notjustok.Analipa watu wampigie makelele.