Msanii wa kimataifa kutoka Tanzania Diamond Platnumz aweka record ya kuwa most African artist mwenye subcribers wengi baada ya kufikisha million 3 na hii imefanya uongozi wa YouTube kumpa certificate Kama zawadi.
Nampa pongezi kijana wa Tandale wazungu wanamsemo "Work hard pay off"
Kwani habari inatakiwa iweje?Na ilewanayopewa wakifikisha 100k subscriber ni nn?
wabongo tupunguze ushamba jamani kha hii nayo ni habari!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hv ni vitu vyakawaida sana nandio maana hata wao YouTube hawana muda wa kukupiga picha na kukutangaza wanapokugea na ndio maana zile award zao huwa wanatuma tu mnacontact kutumia email wanakutumia tu shughuli imeisha hivyo.Kwani habari inatakiwa iweje?
Huyo jamaa ananunua sana viewers. Halafu tambua kwamba Ali kiba ana hiyo certificate tangu mwaka juzi sema huwa hapendi show off za kishambaMsanii wa kimataifa kutoka Tanzania Diamond Platnumz aweka record ya kuwa most African artist mwenye subcribers wengi baada ya kufikisha million 3 na hii imefanya uongozi wa YouTube kumpa certificate Kama zawadi.
Nampa pongezi kijana wa Tandale wazungu wanamsemo "Work hard pay off"
"Most" african artist mwenye subscribers wengi!Msanii wa kimataifa kutoka Tanzania Diamond Platnumz aweka record ya kuwa most African artist mwenye subcribers wengi baada ya kufikisha million 3 na hii imefanya uongozi wa YouTube kumpa certificate Kama zawadi.
Nampa pongezi kijana wa Tandale wazungu wanamsemo "Work hard pay off"
Hommie tatizo wengi hatufuatili vitu na hatujui ndio tatizo linaanzia hapo hao sub mm sioni umuhimi wake hata maana kuna mtu huyo anaitwa Alan Walker ukienda angalia nyimbo zake ni 100M+ views nakuendelea lakini angalia hao sub wake sasa wadogo! lakini kila midundo yake mingi views ni zaidi ya 100M+ kwahiyo nyimbo zikiwa kali tu hazitaki hata uwenasub wengi au wadogo sub nikama followers IG muda wowote wanaweza pungua au ongezeka.Huyo jamaa ananunua sana viewers. Halafu tambua kwamba Ali kiba ana hiyo certificate tangu mwaka juzi sema huwa hapendi show off za kishamba
Kwani Nani amejimwambafai?Kuna Dogo yutbe ana 56M subscribers na sijawahi kusikia akijimwambaFY.
Wewe ndio sio muelewa hizo reward zinaviwango wasanii kibao wanazo tu kulingana na kigezo cha kufikisha idadi furani na hii ya sasa ya 3M then kuwa wakwanza EastAfrica and Sub ni yeye tu aliyeipata hajawai pata mwengine.Hv ni vitu vyakawaida sana nandio maana hata wao YouTube hawana muda wa kukupiga picha na kukutangaza wanapokugea na ndio maana zile award zao huwa wanatuma tu mnacontact kutumia email wanakutumia tu shughuli imeisha hivyo.
Kama huzijui ni hizo [emoji116]View attachment 1347669
Kufananisha Alan Walker na Diamond ni kukosa hekima na akiri.Hommie tatizo wengi hatufuatili vitu na hatujui ndio tatizo linaanzia hapo hao sub mm sioni umuhimi wake hata maana kuna mtu huyo anaitwa Alan Walker ukienda angalia nyimbo zake ni 100M+ views nakuendelea lakini angalia hao sub wake sasa wadogo! lakini kila midundo yake mingi views ni zaidi ya 100M+ kwahiyo nyimbo zikiwa kali tu hazitaki hata uwenasub wengi au wadogo sub nikama followers IG muda wowote wanaweza pungua au ongezeka.
Hivyo vitu ni vya kawaida kwa akina nani?Hv ni vitu vyakawaida sana nandio maana hata wao YouTube hawana muda wa kukupiga picha na kukutangaza wanapokugea na ndio maana zile award zao huwa wanatuma tu mnacontact kutumia email wanakutumia tu shughuli imeisha hivyo.
Kama huzijui ni hizo [emoji116]View attachment 1347669
Boss wenu...Kupewa certificate makelele kibao.Kwani Nani amejimwambafai?