Diamond azidi kudhihirisha ukubwa wa jina lake

Kidingi

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2012
Posts
1,872
Reaction score
1,832
Diamond ni nooma sana, hakika hakukosewa kuwekwa kama Nembo ya Taifa la Tanzania bado kidogo tu tuanze kumtumia kwenye fedha halali kwa malipo ya Tshs zikiwa na picha yake, mimi nitapendekeza iwe noti ya elfu kumi (10,000/=)

Kwa sasa licha ya kuwa Siasa ndio habari ya mjini lakini ni diamond pekee anaebadili muelekeo wa mada mbali mbali za kujadiliwa ikiwemo mtoto wake kuwa na kiki istagram (mtandao unaofuatiliwa zaidi Tanzania) kuliko hata wagombea huku account yake ikizidi kuwavutia watanzania kuendelea kumfollow kila siku mpaka sasa zaidi ya followers 130,000 huku akiwa na mwezi

Hata hivyo sasa hivi habari ya mjini ni diamond, LOWASSA, na Magufuri bila unafiki katika kila mada hawa watu watatu ndio wanaojadiliwa zaidi
 
Last edited by a moderator:
Heheheh
Hata Michael Jackson hakuwahi wekwa popote pale zaidi kaburini

Diamond ndio atakuwa wa kwanza.. Yule hta hvyo masuala ya race ndio yaliyofanya asiwekwe...

DIAMOND PLATNUMZ THE KING OF AFROPOP
 
Haaahaa Kidingi nina imani unatania tu. Kuhusu suala la ukubwa wa jina la Diamond hilo halina ubishi.
 
Last edited by a moderator:
kedrick nenda kwenye intagram kwa kingkiba ukamuone anavyolia kutaka kiki!ahahahaaaaaa Kidingi binti kiziwi

Haaaah nimeona huyu kibakuli kila siku analalamika na vyombo habari Mara ooh ckupewa heshima niliteuliwa kuwa balozi safari hii analalamika hili la peace day kibakuli bhn yeye si super star aendelee kuto wa follow watu
 
Last edited by a moderator:
Haaaah nimeona huyu kibakuli kila siku analalamika na vyombo habari Mara ooh ckupewa heshima niliteuliwa kuwa balozi safari hii analalamika hili la peace day kibakuli bhn yeye si super star aendelee kuto wa follow watu

ahahahaaaa
 
Kiba aache nyodo nakutaka kushobokewa kisa anakipaji, ajitaidi ku expose maisha yake na aache nyodo za kujisikia awafollow ata instagram izo media anazozililia hazimsapot
 
Duu kukaa na vipofu unatakiwa uwe jasiri
 
Idioty nonsense! So what?
Kama habari ya icon kupendekezwa kuwa kwenye noti ni nonsense je, ya yule king wenu anayelelewa na mama kulilia sapoti ya media wakati yeye tu hajawafolo utahiitaje?????????? na sasa hivi ni full mabango ya Magufuli nifah Dinazarde pwilo, Shardcole hebu katembeleeni kwa king wenu muone mana mulisema oooh yeye haposti kitu kaamua kuwaonyeshea kabisa na yeye anasapoti kitu gani.
 

usiwe unanitag kwenye mambo ya kipuuzii,nipo busy na lowassa
 
Uwe unasifia na Baba yako hata siku moja moja basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…