Diamond ni nooma sana, hakika hakukosewa kuwekwa kama Nembo ya Taifa la Tanzania bado kidogo tu tuanze kumtumia kwenye fedha halali kwa malipo ya Tshs zikiwa na picha yake, mimi nitapendekeza iwe noti ya elfu kumi (10,000/=)
Kwa sasa licha ya kuwa Siasa ndio habari ya mjini lakini ni diamond pekee anaebadili muelekeo wa mada mbali mbali za kujadiliwa ikiwemo mtoto wake kuwa na kiki istagram (mtandao unaofuatiliwa zaidi Tanzania) kuliko hata wagombea huku account yake ikizidi kuwavutia watanzania kuendelea kumfollow kila siku mpaka sasa zaidi ya followers 130,000 huku akiwa na mwezi
Hata hivyo sasa hivi habari ya mjini ni diamond, LOWASSA, na Magufuri bila unafiki katika kila mada hawa watu watatu ndio wanaojadiliwa zaidi

Last edited by a moderator: