mzurimie
JF-Expert Member
- Oct 16, 2011
- 6,143
- 3,625
Kama habari ya icon kupendekezwa kuwa kwenye noti ni nonsense je, ya yule king wenu anayelelewa na mama kulilia sapoti ya media wakati yeye tu hajawafolo utahiitaje?????????? na sasa hivi ni full mabango ya Magufuli nifah Dinazarde pwilo, Shardcole hebu katembeleeni kwa king wenu muone mana mulisema oooh yeye haposti kitu kaamua kuwaonyeshea kabisa na yeye anasapoti kitu gani.
Baada ya kuona hafatiliwi na mapaparazi na mashabiki wake kaamu kuonyesha ya Magufuli.