Diamond azindua Pafyum yake ya Chibu, bei yake ni balaa

Anauza ivyo baada ya kusikia uchumi wa nchi umekuwa kwa asilimia 7,nadhani
 
Habar za mida hii wadau?

Kwa faida ya umma naomba ambao wametumia haya manukato/marashi ya chibu watupatie mrejesho sahihi.

Nimeona baadhi ya wana jamvii humu wamekua wameiponda bila kuwa na ushahidi thabiti.

Kuleta mrejesho kwa kunusa harufu kutoka kwa mpita njia tu si sahihi.

Zaidi unapoiponda bidhaa ambayo ujainunua ni kuaribiana biashara.uwezi jua umempeperushia wateja wangapi na sio jambo jema
 
FaizaFoxy
FaizaFoxy
JF-Expert Member

#20

Apr 21, 2017

Joined: Apr 13, 2011

Messages: 55,533

Likes Received: 17,019

Trophy Points: 280


Rahisi sana, itakuwa si perfume hiyo, labda ni eau de toilette

Hayo ni maoni/mtazamo Wa mwanajf maarufu na mkongwe Dada FaizaFoxy aliyoyatoa kupitia mchango wake Wa tarehe 21/4/2017 alioutoa hapa jf kwenye Uzi huu hapa chini. Nini maoni yako?

Diamond azindua Pafyum yake ya Chibu, bei yake ni balaa
 
Mnuka Kikwapa ni yeye, mimi ningekuwa nanuka kikwapa ungeambiwa tu.
Ningeambiwa na nani? Wewe? Maanake hapa wewe ndio unamsema huyo jamaa ananuka kwapa. Vita yenu unaileta mitandaoni kwakujificha, jitaje wewe ni nano ili upambane vizuri na unaemsema.
 
Ningeambiwa na nani? Wewe? Maanake hapa wewe ndio unamsema huyo jamaa ananuka kwapa. Vita yenu unaileta mitandaoni kwakujificha, jitaje wewe ni nano ili upambane vizuri na unaemsema.


Siyo humu tu, hata huko mtaani mbona watu wanamjuwa jamaa ananuka kikwapa?
 
Watu wanatoa ushauri unasema hater kweli watz kuendelea ngumu lazima asikilize ushauri ukitaka kufanikiwa kukosolewa ndio kujirekebisha haikuwa na sababu ya kutoa wimbo wa bashite labda huna knowlege ya market zero brain
Bifu lako na bashite usitushirikishe sisi
 
Bifu lako na bashite usitushirikishe sisi

Ubongo mtindio kweli watu wanakupa namna ya kumarket unaleta bifu la bashite ndio maana kuna mgawanyo wa kazi unadhani biashara ya perfume sawa na mziki fyu
 
Kwa asilimia kubwa hutopata mrejesho ambapo ni utakuwa upo sahihi kwa sababu ya Utimu, maana kuna timu fulani hata kama Dai perfume ni nzuri ila wao wataponda kila kitu, na kuna timu Dai amabao hata kama perfume sio nzuri ila nao lazma waseme imesimama so solution ni bora wewe ukanunue ili ujue ina quality nzuri kulingana na gharama yake au la.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…