"It took me years to make the whole world to be in a small bottle"
Perfume imeandikwa maneno hayo!
Hiyo statement kwa mtu muelewa inashida kubwa sio bure !
LMFAO!!
Kama target yake ni soko upande wa kina mama anaweza kupumua kidogo, sidhani kama wanaume wanaweza kupitia trouble zote za kutoa misimbazi 10+ kua na perfume Lina jina chibu