Diamond azomewa Stejini Wauganda wadai Arudi Tz Hawamwelewi

Mmmmh hivi Jose chameleon anaimbaga kiswalile eeeh au naye anaimba kiswahili haa haa
 
Napata shida sana kuamini ukweli wa hii thread ya kuzomea, maana nakumbuka kuna moja niliiona akishangiliwa kabisa, hivyo comments chache za kwenye social media haziwezi kuelezea ukweli wa tukio lilitokea stejini. Nilitegemea msiliaji atuletee hizo picha za kuzomea badala ya kujirecord tu sauti yake na kutusilimulia.

Binafsi ningependa kuona facts na sio story za kuuma na kupuliza kama style ya panya anavyo mng'ata mtu.
 
Kumbe na ID ni mpya na umeifungua hii account special kwa ajili ya tukio hili, dah watu kazi mnayo wewe sio bure, account hata week haijamaliza, ebwaaana weweeeeeeeeeeeeee

Acha chuki binafsi basi ndg, maisha hayapo hivyo, kuna uwezekana hata hao walioweka negative comments kuhusu huyo mwanamziki (Diamond) mliwaandaa nyie na kuwalipa kwa kazi hiyo.

Pole Watanzania sio mbumbumbu kiasi hicho hadi wadanganyike kirahisi namna hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…