Diamond azomewa Stejini Wauganda wadai Arudi Tz Hawamwelewi

Diamond azomewa Stejini Wauganda wadai Arudi Tz Hawamwelewi

kul
Diamond Azomewa na wana Uganda katika Show yake Wamwambia Arudi Tanzania Hatukuelewi

kule You Tube kuna wezi wengi tu
sijui wanalipwa Views wakiwa wengi?
kwa sababu huyu Narretor anachoongea hakijulikani na hakuna mahali wanapomzomea Domo
 
Waganda sio watu wa kuimba pamoja na msanii (hawanaga vibe wanashangaa tu muda wote), alienda tecno hapo na bado walimshangaa baada ya kuvibe nae.. lugha sio tatizo aisee.. ni culture yao
 
Nimegundua kitu la raha ya show uwepo live uwanjani sio kuangalia kwenye tv maana usipo pata recorder wazuri wa video na sauti unaweza sema show mbaya
 
Angeleta hiyo video watu wakizomea sio kuleta maneno yake. Aweke show yeye ashangiliwe basi
 
Nina hasiraaa!! Hao nn hao??? tell those goddamn to shut their mouth..what the https://jamii.app/JFUserGuide
 
Hizo ni hasira tu za dadayao kuchezewa rafu na shemejiyao Diamond, wanamkubali sana tu, kama wangekuwa hawamkubali wasingeganda hadi mwisho wa show maana Mond ndio alikuwa mfunga show, BTW Diamond kashavuta mpunga wake mrefu hata wakihate haisaidii
 
Anaejua kiganda tafadhari naomba anitafsirie hapa
 
walifuata nini kwenye shoo kama walijua hawaelew kiswahil mbona walifurika
Huyu naona anataka kupandikiza chuki pasi kuweka ushahidi. Binafsi nilitarajia kuwepo na video zinazonyesha kuzomewa lakini katika hiyo clip hakuna huo ushuhuda.
 
Kama unajua hutomuelewa mtu, ya nini unaenda kumsikiliza...

Ni sawa na wachina wafanye concert kwa lugha yao hapa Tanzania, ulipie kwenda kuangalia alafu uanze kulalamika hamuwaelewi... Kwani mlilazimishwa...


Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom