Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
Ngoja wenye timu zao waje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Diamond Azomewa na wana Uganda katika Show yake Wamwambia Arudi Tanzania Hatukuelewi
Kala 60,000 U$Haizuru kitu kishalamba milioni 100 na zakiganda ..
RookieLast Activity:Oct 7, 2017 at 8:14 PM
Joined:Today
Messages:2
..
Karibu JF..
asante Mkuu kwa kututafutia jibuLast Activity:Oct 7, 2017 at 8:14 PM
Joined:Today
Messages:2
..
Karibu JF..
Diamond Azomewa na wana Uganda katika Show yake Wamwambia Arudi Tanzania Hatukuelewi
Anaejua kiganda tafadhari naomba anitafsirie hapa
Ni zari ,zari ,zari 2017Mbona Akina kofee Olomide,Fari wanakuja wanaimba kikongo tunafurahia tu shoo!
Hii imekaaje sijaelewa kabisa.
Huyu naona anataka kupandikiza chuki pasi kuweka ushahidi. Binafsi nilitarajia kuwepo na video zinazonyesha kuzomewa lakini katika hiyo clip hakuna huo ushuhuda.walifuata nini kwenye shoo kama walijua hawaelew kiswahil mbona walifurika