Diamond azungumzia kifo chake kwenye wimbo wake mpya!

Diamond azungumzia kifo chake kwenye wimbo wake mpya!

mbona ye anaiba nyimbo za wenzie yake ikuchuja tatizo nini??????
afu mi huwa siko concerned kabisa ni vifo vya watu wasio wa karibu yangu....
 
punje alizokula kuku zimefikia tamati

diamond kaanza kujulikana sana 2009 if am not mistaken,sasa from 2009 mpaka leo ni almost 4yrs hivyo km ameanza kujitabiria kifo chake labda kuku alikula punje 5 mpaka 6 hivyo kaanza kufikia ukingon mkuu.........just kidding wakuu.
 
Back
Top Bottom