binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
Mpwa, kwanini huamini? Usisahau mpwa kwamba wanadamu maono hatuyapati wote kwa pamoja! Wakati mabilioni ya watu wanaamini Yesu ni Mungu na hilo kuhubiriwa kwa zaidi ya miaka 2000 sasa, bado kuna wengine hawajaamini kwamba Yesu ni Mungu kwahiyo usishangae mimi kupata maono sasa! Chambilecho, kwanini alitudanganya na bado anaendelea kutudanganya kwamba mimba ni yake wakati ni ya Katunzi??!! Kuhusu akina Kiba, si unajua King sio mtu wa show off kwahiyo hawezi kufanya mambo kama hayo! King huwezi kumsikia hata suala la kwamba anamiliki hiki au kile kwa kuwa kufanya hivyo itakuwa ni kuwananga mashabiki weke masikini... kwahiyo asingeweza kusema kwamba kapiga mimba huku mara kule na kuwananga mashabiki wake wasio na uwezo wa kupiga au kushika mimba! Pia usisahau mpwa, King mstaarabu, King sio Kicheche kama huyu mwehu mgumba kwahiyo mimi nina uhakika hata wale watoto wanamsingizia tu lakini kv hapendi kuwaadhi mashabiki wake, ndo hivyo tena kamua tu kukubali lakini King hawezi kuzaa watoto watatu nje ya ndoa na mama watatu tofauti, NEVE EVER! Na hapa ndipo utaamini ule msemo, Mungu sio warumi, manake huyu malaya Diamond ingekuwa ndo kapewa uwezo wa kupiga mimba, hici sasa tayar ingekuwa ana timu ya basketball kama sio ya soka kabisa huku kila mchezaji akiwa na mama yake! Mungu anayaweza wewe, usifanye masihara mpwa.
Hahahaaa chige buanaaaaah hadi najuta nilikuwa wapi siku zote sikusoma huu uzi. I wish nilivokuelewa ndivyo iwe ulichotaka kumaanisha, Btw I miss u.
Last edited by a moderator: