Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,061
hii tasnia ya filamu ni uchafu mtupu. Ushetani uliopitiliza yaani huwezi kukaa pamoja na watoto ukaangalia Bongo movie. Ni usharati na mapepo ya zinaa.
Nawakumbuka wakina Mzee jongo na wakina pwagu na pwaguzi, walikuwa wana staha na Adabu kwenye Tasnia wakati ule.
Lakini sasa hivi ni uchafu mtupu, haifai kuwaachia watoto tv waangalie ni ushetani mtupu.
Tunaiga upuuzi wawazungu tunasahau kwamba utamaduni wa mwafrica ni Adabu?
sio mke wake, ni dem wake tuu na hana mamlaka yoyote juu yakeAaaaah si mke wako, ndo unajisikia poa kupigwa busu ki hivyo!!! Wewe Mondi wewe hata machalii wenzio wa Tandale wanakusikia, siyo poa mkanye baby wako asirudie tena
Mbona hii picha ya kitambo sana.Hata kabla ya kuwa na.Diamond. Diamond alichozungumza ni kuhusu Zari kumpost Ivan,baba ya watoto wake wa kambo
Diamond anadai hayo ni masuala ya kazi kwani yeye pia anaonekana na wadada wengine kwenye mapozi tata, hivyo ameipotezea.
Ila kwani Zari sasa hivi ni msanii?
pix ya loooooooooooooooongtime
Diamond anadai hayo ni masuala ya kazi kwani yeye pia anaonekana na wadada wengine kwenye mapozi tata, hivyo ameipotezea.
Ila kwani Zari sasa hivi ni msanii?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kwa sababu mweusi na hajapaka mekapu? Acha unyanyapaa wifiIla katika mabwana wa zari huyu mwanaume ni mbaya jamani mmmh....
zilipendwa kafanana na bilinganya kwa mbali