Diamond azungumzia picha ya Zari akipigwa denda na dume jingine

Diamond azungumzia picha ya Zari akipigwa denda na dume jingine

Sasa wewe ulitaka asemeje .......... ??
 
hii tasnia ya filamu ni uchafu mtupu. Ushetani uliopitiliza yaani huwezi kukaa pamoja na watoto ukaangalia Bongo movie. Ni usharati na mapepo ya zinaa.

Nawakumbuka wakina Mzee jongo na wakina pwagu na pwaguzi, walikuwa wana staha na Adabu kwenye Tasnia wakati ule.

Lakini sasa hivi ni uchafu mtupu, haifai kuwaachia watoto tv waangalie ni ushetani mtupu.

Tunaiga upuuzi wawazungu tunasahau kwamba utamaduni wa mwafrica ni Adabu?
 
umewasahau mzee kipara, mama ambiliki RIP
 
Aaaaah si mke wako, ndo unajisikia poa kupigwa busu ki hivyo!!! Wewe Mondi wewe hata machalii wenzio wa Tandale wanakusikia, siyo poa mkanye baby wako asirudie tena
 
Mhh, hayo maigizo mbona kama kweli??!! Siku za mwanzo ilianza shaka ya Tiffah, kama ni mtoto wa Dangote au Kitanda hakizai haramu, sasa yanaanza mapichapicha. Ngoja tubiri mwisho wa hii project ya Zari!
 
Ila katika mabwana wa zari huyu mwanaume ni mbaya jamani mmmh....
zilipendwa kafanana na bilinganya kwa mbali
 
Diamond anadai hayo ni masuala ya kazi kwani yeye pia anaonekana na wadada wengine kwenye mapozi tata, hivyo ameipotezea.

Ila kwani Zari sasa hivi ni msanii?

Mbona hii picha ya kitambo sana.Hata kabla ya kuwa na.Diamond. Diamond alichozungumza ni kuhusu Zari kumpost Ivan,baba ya watoto wake wa kambo
 
Back
Top Bottom