miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,811
- 49,053
ha haahha haIla katika mabwana wa zari huyu mwanaume ni mbaya jamani mmmh....
zilipendwa kafanana na bilinganya kwa mbali
lini?Hiyo picha ya zamani sana kabla hajakutana na Baba Tiffah.
Diamond anadai hayo ni masuala ya kazi kwani yeye pia anaonekana na wadada wengine kwenye mapozi tata, hivyo ameipotezea.
Ila kwani Zari sasa hivi ni msanii?
Diamond anadai hayo ni masuala ya kazi kwani yeye pia anaonekana na wadada wengine kwenye mapozi tata, hivyo ameipotezea.
Ila kwani Zari sasa hivi ni msanii?
hamna wifi sio hivo jamaa sura yake sio[emoji23] [emoji23] [emoji23] kwa sababu mweusi na hajapaka mekapu? Acha unyanyapaa wifi
[emoji23] [emoji23] kijana hendsam kabisa huyo acha roho mbayahamna wifi sio hivo jamaa sura yake sio
Daaa !! Unajua hyu jamaa tumefanana naye sana,hivyo haya maneno uliandika utafikiri umeniambia mimi, mungu anakuona ujue[emoji17] [emoji25]Ila katika mabwana wa zari huyu mwanaume ni mbaya jamani mmmh....
zilipendwa kafanana na bilinganya kwa mbali
ha ha ha pole shemejiDaaa !! Unajua hyu jamaa tumefanana naye sana,hivyo haya maneno uliandika utafikiri umeniambia mimi, mungu anakuona ujue[emoji17] [emoji25]
Umenijeruhi vibaya mnooha ha ha pole shemeji
wanayoyafanya wasanii yote yapo katika jamii sasa sijui wewe ulitaka waigize ninihii tasnia ya filamu ni uchafu mtupu. Ushetani uliopitiliza yaani huwezi kukaa pamoja na watoto ukaangalia Bongo movie. Ni usharati na mapepo ya zinaa.
Nawakumbuka wakina Mzee jongo na wakina pwagu na pwaguzi, walikuwa wana staha na Adabu kwenye Tasnia wakati ule.
Lakini sasa hivi ni uchafu mtupu, haifai kuwaachia watoto tv waangalie ni ushetani mtupu.
Tunaiga upuuzi wawazungu tunasahau kwamba utamaduni wa mwafrica ni Adabu?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119] [emoji119]Ila katika mabwana wa zari huyu mwanaume ni mbaya jamani mmmh....
zilipendwa kafanana na bilinganya kwa mbali