Diamond azungumzia picha ya Zari akipigwa denda na dume jingine

Diamond azungumzia picha ya Zari akipigwa denda na dume jingine



Diamond anadai hayo ni masuala ya kazi kwani yeye pia anaonekana na wadada wengine kwenye mapozi tata, hivyo ameipotezea.

Ila kwani Zari sasa hivi ni msanii?


Zari ni msanii kabla ya Diamond.

Pengine Zari alipoanza usanii Diamond alikuwa bado anajinyea-nyea.
 
we mleta mada acha kuunga stori, hii picha ni zamani saaana hata kabla dai na zari hawajawa wapenzi
 
Huyu nae atakuja kufunguka kama Nuhu Mziwanda tusubir
 


Diamond anadai hayo ni masuala ya kazi kwani yeye pia anaonekana na wadada wengine kwenye mapozi tata, hivyo ameipotezea.

Ila kwani Zari sasa hivi ni msanii?


Kwani kasema Zari anafanya kazi ya usanii?

Au ni kazi nyingine!
 
huyo ndo baba wa hao watoto ambao domo anajua wake!kidume kweli hawez kuchukulia poa ngozi yake iliwe mate njenje hivyo!
 
Ila katika mabwana wa zari huyu mwanaume ni mbaya jamani mmmh....
zilipendwa kafanana na bilinganya kwa mbali
Daaa !! Unajua hyu jamaa tumefanana naye sana,hivyo haya maneno uliandika utafikiri umeniambia mimi, mungu anakuona ujue[emoji17] [emoji25]
 
hii tasnia ya filamu ni uchafu mtupu. Ushetani uliopitiliza yaani huwezi kukaa pamoja na watoto ukaangalia Bongo movie. Ni usharati na mapepo ya zinaa.

Nawakumbuka wakina Mzee jongo na wakina pwagu na pwaguzi, walikuwa wana staha na Adabu kwenye Tasnia wakati ule.

Lakini sasa hivi ni uchafu mtupu, haifai kuwaachia watoto tv waangalie ni ushetani mtupu.

Tunaiga upuuzi wawazungu tunasahau kwamba utamaduni wa mwafrica ni Adabu?
wanayoyafanya wasanii yote yapo katika jamii sasa sijui wewe ulitaka waigize nini
 
Ila katika mabwana wa zari huyu mwanaume ni mbaya jamani mmmh....
zilipendwa kafanana na bilinganya kwa mbali
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
 
Kipato huleta majivuno ipo siku ataelewa somo
Waswahili wanasema kwisha kupo
 
Mtalaka hatongozwi.Tunakulaga.
 
Hiyo picha ya kitambo.

Huyo jamaa alikuwa mwanaume wake wa 18 toka aanze mchezo mbaya.
 
Back
Top Bottom