Diamond azungumzia picha ya Zari akipigwa denda na dume jingine

Fresh tu yaani umekwenda kutafuta mke ngomani alafu unakesha kulalamika mke Wangu anapenda ngoma.

Demu mwenyewe kamuiba kwenye ndege akiwa anakuja Dar kwa mbasha wake sasa itamuumaje roho.
 
Lkn hii picha niliona kitambo sana kabla mond ajachukua huo mzigo
 
Picha yenyewe iko wapi.Mnaongelea kitu hakipo?
 
Ndio maana ugomvi na Kiba hauishi hivi kweli Kiba Kagonga Ngozi ya Cheupa Uganda? Yule Manzi kumbe mapene tu yaani hadi anakuzalia khodo khodo khodo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…