mzaramo JF-Expert Member Joined Sep 4, 2006 Posts 6,371 Reaction score 5,186 Jan 21, 2017 #61 Fresh tu yaani umekwenda kutafuta mke ngomani alafu unakesha kulalamika mke Wangu anapenda ngoma. Demu mwenyewe kamuiba kwenye ndege akiwa anakuja Dar kwa mbasha wake sasa itamuumaje roho.
Fresh tu yaani umekwenda kutafuta mke ngomani alafu unakesha kulalamika mke Wangu anapenda ngoma. Demu mwenyewe kamuiba kwenye ndege akiwa anakuja Dar kwa mbasha wake sasa itamuumaje roho.
P Poozy Member Joined Nov 22, 2016 Posts 20 Reaction score 22 Jan 22, 2017 #62 Lkn hii picha niliona kitambo sana kabla mond ajachukua huo mzigo
binti kiziwi JF-Expert Member Joined Aug 4, 2014 Posts 11,201 Reaction score 28,642 Jan 23, 2017 #63 Wageni wa mjini nao, mbona picha ya zamani sana hiyo
Jackal JF-Expert Member Joined Apr 10, 2012 Posts 9,971 Reaction score 13,608 Feb 1, 2017 #64 Picha yenyewe iko wapi.Mnaongelea kitu hakipo?
Mlaleo JF-Expert Member Joined Oct 11, 2011 Posts 14,809 Reaction score 11,825 Feb 1, 2017 #65 Ndio maana ugomvi na Kiba hauishi hivi kweli Kiba Kagonga Ngozi ya Cheupa Uganda? Yule Manzi kumbe mapene tu yaani hadi anakuzalia khodo khodo khodo
Ndio maana ugomvi na Kiba hauishi hivi kweli Kiba Kagonga Ngozi ya Cheupa Uganda? Yule Manzi kumbe mapene tu yaani hadi anakuzalia khodo khodo khodo