Diamond azungumzia ugomvi wa Zari na mama yake na michepuko

Inawezekana zari mwenyewe ndio kalike kutunia ac ya dai

Maana mie haijaniinyia akilini kwa kweli

Kule the celeb chronicle anadai zarinal soldier na getfacts ni Zari, sitashangaa kama kuna ukweli...ila nitasikitika kwa matusi anayotiririsha

Dai mwache ahangaike na fupa lililowashinda mafisi....ila asisahau mama ni mama....na radhi ya mama ni muhimu
Yaani tena mama yule daimond alipaswa awe km piriton maana si kwa shida alizopata mama yake!

Leo from no where hawara anigombanishe na mzazi wangu?!!!!

Mjinga sana!hajui km yake mafanikio bi Sanura ndiyo anamsafia nia kila Siku!
 
Atakua hajui nguvu ya kujibana na maombi ya mama yake.... moyo wa mama yake ukichanua na yake lazima yamnyookee

Nje ya mada; sikujua kama IG kuna mpaka midume inajiuza....aisee nilikuwa nasoma comment kwenye picha za huko nikashangaa midume inajisifia na kuhamasisha wanwake wawadm[emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umenikosha na out of topic..

wapo wengi sana IG sasa hivi ni kijiwe cha kujiuza kwa ke na me!
 
Back
Top Bottom