Diamond ,babu tale wampiga dongo baya fid q

Diamond ,babu tale wampiga dongo baya fid q

nzagambadume

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2018
Posts
2,430
Reaction score
5,779
baada ya fid kuwakandia kwenye tangazo la fiesta jamaa nao wametupa jiwe gizani
ghghghg.PNG
 
Kiufupi fid ni kubwa jinga yule jamaa anatabia za kike kabisa, muoga kupita maelezo so suala la kutokuwa na gari nk na kwenye game yupo mda mrefu inaweza kuwa kweli sababu wanaume wenye michongo ya maana fid wanamjua ana misimamo ya kiume kwenye kuimba mashairi ila kwenye vitendo Hanna mtu pale anatabia za kichoko choko tu.
 
Hawa jamaa hilo linawezekana linaukweli mna safari kila siku show zingine watu hawajai
kwa sasa hvi kusafirisha ngada ni kazi moja ngumu sana na isiyo wezekana kirahisi.... Ukitaka kusafirisha unga labla uwe na connection na madiplomant hahaha

Au nenda kapractice ujue mziki wake ulivyo mnene

Diamond hela zake nyingi kazipatia kwenye matangazo
 
Back
Top Bottom