MLUGURU
JF-Expert Member
- Mar 30, 2012
- 2,929
- 3,710
dah...kweli alietangulia katangulia Tu,acheni Hawa ruge na kina kusaga wapige chenchi zao Kwa ujinga Wa wabongo walio wengi.
Wasafi plus huyo farid wanajua wanachokifanya....kama ishu ya bifu kibiashara Kwa nini tusisikie majibizano ya fiesta na lile LA kina kitenge ambapo kiuhalisia ni kampuni mbili tofauti.
Shame upon you fake artists