Diamond badilika hiyo sio tabia nzuri

Diamond badilika hiyo sio tabia nzuri

dawati la wageni lilishafutwa,nani atakuwa anampokea?
 
Zamani wapi, ya juzi kati kwenye birth day ya prezdenti

Acha uongo hio siku ilikuwa JK anawaaga Wasanii na kumtambulisha Magufuli kwa Wasanii na ndio siku hio domondi akasema moja ya mafanikio ya uongozi wa jk ni kuwa mwanae kapata followers 50k Instagram.
 
Na kwa taarifa yako mtoa uzi aliyetengeneza slogan ya hapa kazi tu ni Diamond Platinums...alikuwepo kwenye creative team
 
Acha uongo hio siku ilikuwa JK anawaaga Wasanii na kumtambulisha Magufuli kwa Wasanii na ndio siku hio domondi akasema moja ya mafanikio ya uongozi wa jk ni kuwa mwanae kapata followers 50k Instagram.
Mi nakuheshimu sana kwa vile huwa nakukuta kwenye majukwaa yenye adabu zake kwa hiyo sitokujibu kama ulivyonijibu wewe kwa mtindo wa "msuto" ni kweli ilikuwa ni siku JK anawaaga wasanii na halikuwa lengo langu kupotosha ila kumbukumbu hazikukaa sawa, ila alisema kuwa moja ya mafanikio ya JK ni kuwa mwanae kapata UDHAMINI WA MILIONI 50 NA KUVESHWA BURE KWA MWAKA MZIMA NA MSASANI/PUGU SHOPPING MALL.
 
Mtu mwenye akili timamu hawezi anzisha huu uzi. Kwa kipindi cha siku 25 mkuu yupo busy sana kuweka miongozo na kuunda serikali. Hayo mambo ya social interaction atayafanya baada ya kukamilisha jukumu zito.

Najua vijana wengi walikuwa watoto wakati wa JK anaingia madarakani. Subiri dada usiwe na papara kwani JPM atapambana na wezi wa kazi za wasanii.
 
Back
Top Bottom