Zamani wapi, ya juzi kati kwenye birth day ya prezdenti
Mi nakuheshimu sana kwa vile huwa nakukuta kwenye majukwaa yenye adabu zake kwa hiyo sitokujibu kama ulivyonijibu wewe kwa mtindo wa "msuto" ni kweli ilikuwa ni siku JK anawaaga wasanii na halikuwa lengo langu kupotosha ila kumbukumbu hazikukaa sawa, ila alisema kuwa moja ya mafanikio ya JK ni kuwa mwanae kapata UDHAMINI WA MILIONI 50 NA KUVESHWA BURE KWA MWAKA MZIMA NA MSASANI/PUGU SHOPPING MALL.Acha uongo hio siku ilikuwa JK anawaaga Wasanii na kumtambulisha Magufuli kwa Wasanii na ndio siku hio domondi akasema moja ya mafanikio ya uongozi wa jk ni kuwa mwanae kapata followers 50k Instagram.