Hapo tu karudisha nyuma.Alitakiwa atimize miaka 21! Hivi kuna faida gani kujidogosha?
Watu tulijiandaa kuaibika na harusi ya uwanja wa taifa jamani khaaa kile kipindi tulikua hatupumui, sasa ivi wanatia huruma maskini dah
Yaani hizi habari za domo na wema zimenichoooooosha kama habari za gwajima

Hasa afanye mara ngapi kwani kuna kazi ya maana unayojua anafanya kumuingizia kipato😱
Hapo tu karudisha nyuma.Alitakiwa atimize miaka 21! Hivi kuna faida gani kujidogosha?
Hapo tu karudisha nyuma.Alitakiwa atimize miaka 21! Hivi kuna faida gani kujidogosha?
21 wapi?22 yule mi nakumbukaga kipindi anaanza kutangaza kasema alizaliwa 93
na 2011 alisherehekea miaka18 ya kuzaliwa kwake
hv hawaonagi haya...
Huyu huwa hakui shoga.Anarudi utoto kila siku.
Case.com
Anataka awe treated kama juvenile.Case sa watoto wadogo zina hukumu ndogo au haukumiwi kabisa.
Case.com
Anataka awe treated kama juvenile.Case sa watoto wadogo zina hukumu ndogo au haukumiwi kabisa.
21 wapi?22 yule mi nakumbukaga kipindi anaanza kutangaza kasema alizaliwa 93
na 2011 alisherehekea miaka18 ya kuzaliwa kwake
hv hawaonagi haya...
Hahahaaa! Jamani nimeshangaa kusikia kua Lulu anatimiza miaka 20! Yani mpaka nimeona nimezeeka ghafla wenzetu hawakui!
kama wanjiru nae hakui kila siku ana 26Huyu huwa hakui shoga.Anarudi utoto kila siku.