Diamond: Bora nife kuliko kumrudia Wema

Diamond: Bora nife kuliko kumrudia Wema

Hasa afanye mara ngapi kwani kuna kazi ya maana unayojua anafanya kumuingizia kipato😱

Endless fame, movies, nasikia ana fungua boutique, na biashara ya nguo eti.
Pia lipstick on its way.
Simfagilii ila kazi sio lazima uamke saa kumi na moja uende ofisini.
 
Binam warumi lulu anatimiza miaka20 sasa aje airudishe nyuma tenaa

Ha ha ha.
Forever young kwa kweli.
Huyu ana miaka 20, mimake up kila siku na mi high heels, akisimama na mie bibi yake naonekana kigori.
 
Last edited by a moderator:
Hapo tu karudisha nyuma.Alitakiwa atimize miaka 21! Hivi kuna faida gani kujidogosha?

Case.com
Anataka awe treated kama juvenile.Case sa watoto wadogo zina hukumu ndogo au haukumiwi kabisa.
 
Hapo tu karudisha nyuma.Alitakiwa atimize miaka 21! Hivi kuna faida gani kujidogosha?

21 wapi?22 yule mi nakumbukaga kipindi anaanza kutangaza kasema alizaliwa 93
na 2011 alisherehekea miaka18 ya kuzaliwa kwake
hv hawaonagi haya...
 
mwe huyo dimond asitukane mamba wakati hajavuka mto.....
 
Kwan huyo diamond ni nani?? Mbali na usupa star ana nini cha zaidi...Yaah safi sana Wema.....
Afu huyo domo ana mambo ya kiswahili sana nyambafu yeye
 
Case.com
Anataka awe treated kama juvenile.Case sa watoto wadogo zina hukumu ndogo au haukumiwi kabisa.

21 wapi?22 yule mi nakumbukaga kipindi anaanza kutangaza kasema alizaliwa 93
na 2011 alisherehekea miaka18 ya kuzaliwa kwake
hv hawaonagi haya...

Hahahaaa! Jamani nimeshangaa kusikia kua Lulu anatimiza miaka 20! Yani mpaka nimeona nimezeeka ghafla wenzetu hawakui!
 
Hahahaaa! Jamani nimeshangaa kusikia kua Lulu anatimiza miaka 20! Yani mpaka nimeona nimezeeka ghafla wenzetu hawakui!

haoni ht haya lloooh
wasanii wabongo sijui kwa nini wanapenda kudanganya umri
 
wema anasema kishampata le nigga...sijui nani huyo warumi wamjua???
 
Back
Top Bottom