Diamond: Bora nife kuliko kumrudia Wema

Diamond: Bora nife kuliko kumrudia Wema

Aah,! Hapa unamwonea bure, baba kijacho alikuta spring zote zimekatika na wala meter haisomi kabisa.
sku iz bibie ana mnato wa china nasikia centigrade mpaka 100 ukitumia.Ila mikansa nje nje

Jmn inatosha basi mnatupasua mbavu
 
Wema kachakazwa wewe, mpaka na houseboy wake, yani wafanyakaz wake wote wa endless washamuonja boss wao, mpka kuitwa wema unadhani mchezo? Mtoto kakitembeza yule, naona mpaka wamemtoa kizazi kwa miboo, maana wengine walikuwa na mitarimbo ya haja bibie yumo tu

Hahahahhahahhahahhahahahah... warumi unafaa kuwa msanii wa kuchekesha
 
Nilickia yupo na ommy dimpoz thts y kuna bifu kati ya dimpoz vs dangote. Charty, Dinazarde na nifah mtujuze atiiiii
 
Nilickia yupo na ommy dimpoz thts y kuna bifu kati ya dimpoz vs dangote. Charty, Dinazarde na nifah mtujuze atiiiii

Hilo bado halijawa confirmed maana Dimpoz alikataa.Kama kuna kitu mbona tutajua tu?
Wewe subiri bongo hii hakuna siri.
 
Hahahahhahahhahahhahahahah... warumi unafaa kuwa msanii wa kuchekesha

Kabisa kabisa! warumi ni comedian mzuri sana.Mimi hua nacheka hadi kichwa kinauma!
 
Last edited by a moderator:
Wote hao mazingifuri warudiane wasirudiane sisi inatuhusu nini akae tu na mama yake mzazi zari dume lina domo kama choo lol kweli wema na wewe jitambue sio mwanaume huyo subiri na huyo zari amchoke usikie lol
 
Wote hao mazingifuri warudiane wasirudiane sisi inatuhusu nini akae tu na mama yake mzazi zari dume lina domo kama choo lol kweli wema na wewe jitambue sio mwanaume huyo subiri na huyo zari amchoke usikie lol

Pumba

Wivu.com
 
Kuonesha kwamba hana mpango wa kurudi nyuma, staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul &[HASHTAG]#8216[/HASHTAG];Diamond Platinumz' amefungukia msimamo wake juu ya mwandani wake wa zamani, Wema Sepetu &[HASHTAG]#8216[/HASHTAG];Madam' kwa kusema kuwa kamwe hawezi kumrudia tena.

Licha ya Diamond kufunguka hayo, wawili hao wamekuwa na mapenzi ya vipindi, kuna wakati waliwahi kumwagana kisha kurudiana na hakuna aliyewahi kutoa tamko zito lakini safari hii Diamond amesema ndiyo basi tena!

TUJIUNGE NA CHANZO:

Kwa mujibu wa chanzo makini kilicho karibu na staa huyo, mara kwa mara Diamond amekuwa akijiwekea nadhiri ndani ya moyo wake na kusisitiza kwamba pamoja na kuwa maisha ya sasa huendeshwa kwa msingi wa fedha lakini hata kama &[HASHTAG]#8216[/HASHTAG];atafulia' kiasi gani, ni bora afe maskini kuliko kurudiana na Wema.

"Diamond amekuwa akisema kila wakati kwa msisitizo kuwa kutokana na matatizo aliyokumbana nayo katika uhusiano wake kwa Wema, ni vigumu sana kurudiana naye wala kuwaza kama ipo siku anaweza kuwa naye, maana hakuna tena jambo geni asilolijua kwake," kilisema chanzo hicho na kufunguka zaidi:

"Kama hiyo haitoshi, Diamond anasema anaposema haoni kitu kipya kwa Wema anamaanisha ndiyo maana utaona leo hakuna hata siku moja ambayo amewahi kuwaza kurudiana naye hata kama atatumia ushawishi wa fedha kwa kumpelekea makontena ya fedha, hawezi kukubali anasema bora afe maskini kuliko kushea kitanda kimoja na Wema."

DIAMOND ATHIBITISHA

Baada ya madai hayo, Jumamosi lilifanya jitihada za kukutana na Diamond uso kwa uso ambaye alithibitisha taarifa ambazo zilielezwa na mtu wake wa karibu:

"Umeambiwa na nani hayo? Sipendi kuongelea sana hivi vitu lakini huo uliousikia ndiyo ukweli. Kwa sasa nawaza maisha yangu na mpenzi wangu Zari baada ya kupitia majaribu mengi kimapenzi enzi hizo.

"Huenda wengi wasiamini ninayosema lakini nafsi yangu haijawahi kuniongoza kukumbuka ya nyuma tena kama ilivyowahi kutokea awali.

"Wengi wamekuwa wakiniuliza swali kama hili lakini sikupenda kujibu kwa kuwa nilihisi litaleta tafrani kwa mashabiki wangu, sioni sababu ya kuendelea kuulizwa kwenye media hivyo ukweli ni kwamba siwezi kurudi nyuma tena," alisema Diamond.

ASISITIZA KWA KUREKODI WIMBO

Kuonesha kweli amedhamiria kutogeuka nyuma, Diamond alisema kwa sasa yuko bize studio kurekodi wimbo na Nay wa Mitego (Emmanuel Elibariki) ambao utakuwa umesheheni majibu ya maswali yote ya kila kitu ambacho kilimkera kwenye uhusiano wake na Wema.

"Naomba mashabiki wangu wawe na subira kwa maswali hayo yote, majibu yake yatapatikana katika project yangu na Nay inayokuja muda si mrefu," alisema Diamond.

WEMA AJIBU MASHAMBULIZI

Alipotafutwa Wema kuhusiana na kauli hiyo ya Diamond, naye alijibu mashambulizi kwa kusema kamwe hawezi kurudiana na Diamond, hamfai hata kidogo na hata akimshawishi na fedha nyingi kiasi gani hawezi kurudi nyuma.

"Hata aje na Bill Gates (tajiri mkubwa duniani), aje na matajiri wote anaowajua yeye duniani kamwe siwezi kulamba matapishi, kwanza sitaki kukumbuka kabisa kuhusu huyo mtu, please naomba nisimuongelee kabisa huyo mtu," alibwatuka Wema.

Nadhani sasa wakati wa "kufa" umewadia.
 
hili kaburi mlilo lifukuwa ni la hayati MWALIMU JULIUS NYERERE
 
Back
Top Bottom